Safari za Rais Samia Nje ya Nchi zimekuwa zenye mafanikio makubwa sana, ni muwindaji mwenye shabaha aingiapo mawindoni

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu safari za Rais Samia Nje ya nchi Zimekuwa Ni zenye matunda kwa nchi yetu, zimekuwa Ni zenye mafanikio katika uwekezaji wetu,zimekuwa Ni zenye Tija katika kuimarisha ushirikiano wa kibiashara,zimekuwa Ni zenye mafanikio katika fursa za ajira kwa vijana, kila anakokwenda Rais Samia unaona namna ambavyo fursa zinamwagika na kutiririka nchini.

Mapema kabisa wa uongozi wake Rais Samia alifanya ziara nchini Kenya, Katika ziara hiyo alifanya mazungumzo na mwenyeji wake mh uhuru kenyata, Tangia wakati huo mahusiano yetu na Kenya yamekuwa mazuri Sana, husikii Tena uzuiaji wa mahindi mipakana,husikii Tena kurushiana maneno, husikii Tena kukomoana. Sasa mazao ya Tanzania Hasa Mahindi yanakwenda na kuingia Kenya bila shida yoyote Hali iliyopelekea wakulima wa Tanzania kupata Bei nzuri ya mahindi na kunufaika na jasho lao. Sasa Tanzania na Kenya Ni zaidi ya majirani,Sasa Ni ndugu

Rais Samia Ni muwindaji Hodari, muwindaji mwenye Shabaha,muwindaji anayejuwa ameingia msituni kufanya Nini na kutafuta Nini,muwindaji ambaye Hawezi kutoka mikono mitupu msituni, Rais Samia Ni muwindaji anayetafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu kila aendako, Ni muwindaji ambaye kwokwote anakokwenda lazima Taifa letu lipate fursa

Sote Tumeona katika ziara yake nchini China namna ambavyo safari hiyo imekuwa ya mafanikio, namna ambavyo Tanzania inakwenda kunufaika na fursa za kiuwekezaji na kibiashara na namna ziara hiyo ilivyofungua Ukurasa mpya wa kidiplomasia pamoja na namna heshima Tuliyopata Kama nchi kupitia Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania Hadi kufikia kusamehewa Deni la takribani billioni 31 fedha zitakazo saidia kijenda Madara,vituo vya Afya,uchimbaji wa visima virefu vya maji, n.k,

Asante Sana Rais wetu Mama Samia kwa kazi kubwa unayoendelea kuifanya, usikatishwe Tamaa na maneno ya wachache, usivunjike moyo Rais wetu,usirudi nyuma Rais wetu mpendwa, Songa Mbele Rais wetu,chapa kazi Rais wetu mpendwa, Watanzania tupo tunaendelea kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tunakuamini Sana Rais wetu na tutaendelea kukuunga mkono wakati wote

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
 
[emoji1428]Hizo safari zinaniongezea nini mimi mwananchi wa kawaida ambae niko mbali sana na sega la asali?

[emoji1428]Leo kupata GB moja ni aftatu.

[emoji1428] Giza la kutisha mchana kweupe.

[emoji1428] Maji kwa sasa ni anasa na tumezungukwa na maji nchi nzima.

[emoji1428]Nyumbani kwako kuna maafa badala urudi kuungana na watu wako we unaning'inia tu milangoni kwa watu kama...
 
Ndugu zangu safari za Rais Samia Nje ya nchi Zimekuwa Ni zenye matunda kwa nchi yetu, zimekuwa Ni zenye mafanikio katika uwekezaji wetu,zimekuwa Ni zenye Tija katika kuimarisha ushirikiano wa kibiashara,zimekuwa Ni zenye mafanikio katika fursa ake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Kupata hiki kibonzo tuma neno BONGO kwenda 255
 
[emoji1428]Hizo safari zinaniongezea nini mimi mwananchi wa kawaida ambae niko mbali sana na sega la asali?

[emoji1428]Leo kupata GB moja ni aftatu.

[emoji1428] Giza la kutisha mchana kweupe.

[emoji1428] Maji kwa sasa ni anasa na tumezungukwa na maji nchi nzima.

[emoji1428]Nyumbani kwako kuna maafa badala urudi kuungana na watu wako we unaning'inia tu milangoni kwa watu kama...
Safari hizo zinasaidia kuvutia wawekezaji , watalii na wafanyabiashara wakubwa wanosaidia kutengeneza fursa za ajira kwa vijana pamoja na kuongeza wigo wa Kodi itakayosaidia kuwekeza na kuboresha huduma za kijamii Kama vile ujenzi wa zahanati, shule na vituo vya Afya, usambazaji wa huduma za maji na umeme
 
Wewe mleta mada nenda Milembe kabla ya tatizo halijawa kubwa
JamiiForums897782019.jpg
 
Acha Ujinga.
Ofisi yake ni IKULU Dodoma. Yeye yupo Mawinguni tu utadhani Umande.

Mbona Rais wa China hatumuoni huku?
 
Ndugu zangu safari za Rais Samia Nje ya nchi Zimekuwa Ni zenye matunda kwa nchi yetu, zimekuwa Ni zenye mafanikio katika uwekezaji wetu,zimekuwa Ni zenye Tija katika kuimarisha ushirikiano wa kibiashara,zimekuwa Ni zenye mafanikio katika fursa za ajira kwa vijana, kila anakokwenda Rais Samia unaona namna ambavyo fursa zinamwagika na kutiririka nchini.

Mapema kabisa wa uongozi wake Rais Samia alifanya ziara nchini Kenya, Katika ziara hiyo alifanya mazungumzo na mwenyeji wake mh uhuru kenyata, Tangia wakati huo mahusiano yetu na Kenya yamekuwa mazuri Sana, husikii Tena uzuiaji wa mahindi mipakana,husikii Tena kurushiana maneno, husikii Tena kukomoana. Sasa mazao ya Tanzania Hasa Mahindi yanakwenda na kuingia Kenya bila shida yoyote Hali iliyopelekea wakulima wa Tanzania kupata Bei nzuri ya mahindi na kunufaika na jasho lao. Sasa Tanzania na Kenya Ni zaidi ya majirani,Sasa Ni ndugu

Rais Samia Ni muwindaji Hodari, muwindaji mwenye Shabaha,muwindaji anayejuwa ameingia msituni kufanya Nini na kutafuta Nini,muwindaji ambaye Hawezi kutoka mikono mitupu msituni, Rais Samia Ni muwindaji anayetafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu kila aendako, Ni muwindaji ambaye kwokwote anakokwenda lazima Taifa letu lipate fursa

Sote Tumeona katika ziara yake nchini China namna ambavyo safari hiyo imekuwa ya mafanikio, namna ambavyo Tanzania inakwenda kunufaika na fursa za kiuwekezaji na kibiashara na namna ziara hiyo ilivyofungua Ukurasa mpya wa kidiplomasia pamoja na namna heshima Tuliyopata Kama nchi kupitia Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania Hadi kufikia kusamehewa Deni la takribani billioni 31 fedha zitakazo saidia kijenda Madara,vituo vya Afya,uchimbaji wa visima virefu vya maji, n.k,

Asante Sana Rais wetu Mama Samia kwa kazi kubwa unayoendelea kuifanya, usikatishwe Tamaa na maneno ya wachache, usivunjike moyo Rais wetu,usirudi nyuma Rais wetu mpendwa, Songa Mbele Rais wetu,chapa kazi Rais wetu mpendwa, Watanzania tupo tunaendelea kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tunakuamini Sana Rais wetu na tutaendelea kukuunga mkono wakati wote

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Uharo mtupu,kipindi Cha Kikwete,alisafiri sana,wasifiaji wakasifia,tukaambiwa safari zinaleta faida,kuripo kucha,tukagundua,gesi imeuzwa,EPA,meremeta,Richmond,ufisadi kwenda mbele,likaja shetani kutoka chato,kwa vile halijuhi kizungu,likasema lenyewe halitasafiri nje ya nchi,likaua,likaiba,lilipockufa,nicmadudu pekee yamebaki,
Ccm ni Sawa na shetani mwenye mguu mmoja.
 
Ndugu zangu safari za Rais Samia Nje ya nchi Zimekuwa Ni zenye matunda kwa nchi yetu, zimekuwa Ni zenye mafanikio katika uwekezaji wetu,zimekuwa Ni zenye Tija katika kuimarisha ushirikiano wa kibiashara,zimekuwa Ni zenye mafanikio katika fursa za ajira kwa vijana, kila anakokwenda Rais Samia unaona namna ambavyo fursa zinamwagika na kutiririka nchini.

Mapema kabisa wa uongozi wake Rais Samia alifanya ziara nchini Kenya, Katika ziara hiyo alifanya mazungumzo na mwenyeji wake mh uhuru kenyata, Tangia wakati huo mahusiano yetu na Kenya yamekuwa mazuri Sana, husikii Tena uzuiaji wa mahindi mipakana,husikii Tena kurushiana maneno, husikii Tena kukomoana. Sasa mazao ya Tanzania Hasa Mahindi yanakwenda na kuingia Kenya bila shida yoyote Hali iliyopelekea wakulima wa Tanzania kupata Bei nzuri ya mahindi na kunufaika na jasho lao. Sasa Tanzania na Kenya Ni zaidi ya majirani,Sasa Ni ndugu

Rais Samia Ni muwindaji Hodari, muwindaji mwenye Shabaha,muwindaji anayejuwa ameingia msituni kufanya Nini na kutafuta Nini,muwindaji ambaye Hawezi kutoka mikono mitupu msituni, Rais Samia Ni muwindaji anayetafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu kila aendako, Ni muwindaji ambaye kwokwote anakokwenda lazima Taifa letu lipate fursa

Sote Tumeona katika ziara yake nchini China namna ambavyo safari hiyo imekuwa ya mafanikio, namna ambavyo Tanzania inakwenda kunufaika na fursa za kiuwekezaji na kibiashara na namna ziara hiyo ilivyofungua Ukurasa mpya wa kidiplomasia pamoja na namna heshima Tuliyopata Kama nchi kupitia Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania Hadi kufikia kusamehewa Deni la takribani billioni 31 fedha zitakazo saidia kijenda Madara,vituo vya Afya,uchimbaji wa visima virefu vya maji, n.k,

Asante Sana Rais wetu Mama Samia kwa kazi kubwa unayoendelea kuifanya, usikatishwe Tamaa na maneno ya wachache, usivunjike moyo Rais wetu,usirudi nyuma Rais wetu mpendwa, Songa Mbele Rais wetu,chapa kazi Rais wetu mpendwa, Watanzania tupo tunaendelea kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tunakuamini Sana Rais wetu na tutaendelea kukuunga mkono wakati wote

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Kilà siku unaandika mabi uharo mtupu, sijui una laana gani?
 
Acha Ujinga.
Ofisi yake ni IKULU Dodoma. Yeye yupo Mawinguni tu utadhani Umande.

Mbona Rais wa China hatumuoni huku?
Tanzania siyo kisiwa,lazima ishirikiane na nchi zingine katika fursa mbalimbali, Dunia tunategemeana katika maendeleo,ndio maana uliona Vita vya ukrein vilituathiri Hadi sisi huku kwa mfumuko wa Bei ya bidhàa hasa mafuta japo hatukuwa vitani, huwezi ukapata wawekezaji Kama umejifungia ndani muda wote Kama kuku anayeatamia japo Naye hutoka nje kupata jua
 
Mabalozi kazi yao ni nini?
 
And that's a Priority ?

Unaonaje kama hio kazi anaiweza Vema Tusimpatie Ubalozi nchi tofauti tofauti miezi sita sita ili atuletee hizo Neema; Humu ndani tutafute mwingine wa kutuletea Neema ?

Au hapa tulipofika ndio Tamati hakuna mazuri zaidi ?
 
Mabalozi kazi yao ni nini?
Balozi wa nchi hawezi kuchukua nafasi ya Rais wa nchi, siyo kila majadiliano anayeweza Balozi, ndio maana unaona hata akina Joe Biden au Emmanuel macron wakisafiri kukutana na viongozi wenzao
 
Back
Top Bottom