Safari za Rais Samia nje ya nchi

Ni kama baba wa familia maskini, lazima asubuhi atoke hata kama hajui anaenda wapi na kufanya nini. Asafiri tu.
 

Hiyo timu ndio ya kuiangalia

Big fish hushirikiana na hiyo unayoita timu kumpeleka mama nje ili matukio ya muhimu yatokee
 
Mpaka sasa amesha safiri zaidi ya safari 50!!!
 
Hao unaowaita wabobezi ni genge la wanufaikao na hizo safari zake, hamna kutu ni posho tu.
Tuambie tija ya hizo safari zake.
 

Hili gazeti utasoma mwenyewe
 

Binafsi namkubali mama kuliko Magu. Anajitahidi sana.
 
Magufuli aliyaleta maendeleo ya kweli bila hata ya kunyanyua miguu na kuiswampisha kwa wazungu kila kukicha.
Unataka kutuambia nn ambacho kitatufahamahisha kwa serikali ya sasa si ya upigaji.


TUMECHOOOOKA
 
Kipindi cha awamu ya pili na ya tatu Nyerere aliweza kuwa monitor marais wa kipindi hicho na hata kuwakemea hadharani na wakamtii,awamu zilizofuata raisi hakuna wa kumkosoa sasa kama ana kasoro au fisadi imetoka hiyo hadi muhula uishe na ndio maana uchawa umeongezeka sana.
 
Wanamtengenezea safari ili watu walipane posho, nchi inapigwa kila mahala, wamakonde wana msemo wao wanasema ukishimama nchale, tukilala nchale.

Kama alikuwa nishati akawa anatuletea ngonjera za umeme, je itakuwaje huko wizara foreign affairs?
 
Hivyo ni vitu viwili tofauti. Kuelezea ki layman.

Wewe unalipwa Mshahara milioni 1, unaishi Mwananyamala, Mshahara wako unatumia wote mpaka mwezi ukiisha huna kitu.

Boss akakupandishia Mshahara mpaka Milioni 2, ukahama Mwananyamala ukaenda msasani, nako unatumia Mshahara wote hubakiwi na kitu.

Sababu mishahara yote miwili hubakishi kitu na haikutoshi haimaanishi Mshahara haujapanda.

Uchumi umepanda na gharama za maisha pia zime panda vyote viwili vinaweza kuwa kweli kwa wakati mmoja.
 
Reactions: K11
Heeh!!! Hili gazeti la Mwananchi au Mtanzania?
 
Safari za rais hapa Tanzania hutegemea zaidi mapendeleo yake binafsi kuliko faida za safari hizo kwa umma.

Kikwete alipenda kusafiri sana kwasababu ni mtu mwenye kupenda safari na mwenye uwezo wa kidiplomasia.

Magufuli alichukia safari za nje kwakuwa ni mtu asiye na uwezo wa kidiplomasia na lugha ya kiingereza ilikuwa ngumu kwake. Hii ilimfanya achukie hata wenye lugha hii.

Sasa mama kwasasa amerudisha safari; sio mbaya kidiplomasia wala sio mzuri sana katika lugha za watu. Samia hupenda zaidi show off na luxury. Pia yawezekana hupenda zaidi business zake binafsi katika safari hizi.
 

 
Mama wa ovyo sana huyo anaenda kuzulula anatatuacha tunakunywa uji mwepesi kama maji bila sukari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…