Kwani wamelazimishwa kurudi Dodoma.Wanakuja kuangalia familia zao, ndoa zao. Mtu kacheza na watoto, kafanya usafi huko room, kamfilia mumewe ataacha kuchoka.
Hasira za kuacha mji wake familia roho inamuma hapo anaona bora alale asije kulia mbele za watu.
Weee kuweza kuacha kazi ghafla km upepo. Ukipata kazi utajua kazi ni benchmark ya familia.Kwani wamelazimishwa kurudi Dodoma.
Wabaki Dsm tu wapige mishe nyingine za hela.
Wanaosafiri weng wao ndio hawa wenye sherehe yao leo?Weee kuweza kuacha kazi ghafla km upepo. Ukipata kazi utajua kazi ni benchmark ya familia.