joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mzee wa Msoga alisafiri ufipa wakamwita Vasco Dagama.Magufuli alivyoacha kusafiri ilikuwa nongwa kwamba ame-disconnect Tz na dunia, Mama anasafiri ku-connect Tz na dunia inakuwa nongwa Baghosha!
Tangu aanze kusafiri ameunganisha kitu gani cha maana ambacho unakiona kama sio kurejesha mafisadi papa na kutia nchi hasara kwa matumizi ya kodi za wananchi bila tija?Mzee wa Msoga alisafiri ufipa wakamwita Vasco Dagama.
Hahahahaaaaa......Una maana alimkuta Mange Kimambi UN? Alikuwa pia na wafanyabiashara na yake binfsi
Mkuu,Mzee wa Msoga alisafiri ufipa wakamwita Vasco Dagama.
Masafari[emoji16]Samia amekuwa ni rais wa JMT kuanzia tar. 19 March 2021. Kwa uwezo na kipaji alichojaaliwa na Muumba, kisha weza kusafiri nje ya nchi kama ifuatavyo:
1. Uganda - 11 April 2021
2. Kenya - 4 May 2021
3. Msumbiji - 22 June 2021
4. Burundi - 15 July 2021
5. Rwanda - 2 August 2021
6. Malawi - 16 August 2021
7 Zambia - 24 August 2021
8. US - 20 September 2021
9. U K (Glasgow) - 30 October 2021
10. Misri - 10 November 2021
11. …………..
Tuendelee kuhuisha idadi hii kadri rais wetu atakavyojaaliwa.
Tangu aingie madarakani Mhe. Rais amefanya ziara moja tu ya mbali ya kiserikali ambayo ni hii ya Egypt. Ziara zingine 5 za kiserikali alizofanya ni za kujitambulisha kwa majirani. Rais hajafanya ziara ya kiserikali nje ya bara la Afrika. Yuko makini kiasi kwamba tija ya ziara hizi inazidi matumizi yake.Samia amekuwa ni rais wa JMT kuanzia tar. 19 March 2021. Kwa uwezo na kipaji alichojaaliwa na Muumba, kisha weza kusafiri nje ya nchi kama ifuatavyo:
1. Uganda - 11 April 2021
2. Kenya - 4 May 2021
3. Msumbiji - 22 June 2021
4. Burundi - 15 July 2021
5. Rwanda - 2 August 2021
6. Malawi - 16 August 2021
7 Zambia - 24 August 2021
8. US - 20 September 2021
9. U K (Glasgow) - 30 October 2021
10. Misri - 10 November 2021
11. …………..
Tuendelee kuhuisha idadi hii kadri rais wetu atakavyojaaliwa.
Unasema mtoa mada anataka uteuziUkuu ni jaa!
Nafuu reference Iwe kwa Msoga gang, sukumagang ulikuwa mziki mnene.Mama Samia ana kazi sana. Wengi wanampima huku reference point ikiwa JPM. Ndiyo shida ya kukamata uongozi huku mtangulizi wako akiwa amefanya mambo makubwa makubwa.
UN haina eneo la kijiografia, kusema US ni sahihi zaidi kisha utofautishe kwamba alienda kwenye ofisi za umoja wa mataifa (UN) zilizo katika nchi ya MarekaniUna maana alimkuta Mange Kimambi UN? Alikuwa pia na wafanyabiashara na yake binfsi
...... but, so what? Tunasema amesafiri kwenda US. Siyo kweli? Last week alikuwa UK-Glasgow. Should we say alikuwa COP26? Why all these bhal! bhla!UN haina eneo la kijiografia, kusema US ni sahihi zaidi kisha utofautishe kwamba alienda kwenye ofisi za umoja wa mataifa (UN) zilizo katika nchi ya Marekani
Anafaidi mali ya urithiHivi Rais wetu alipata kura ngapi kwenye uchaguzi mkuu?
The point is; A head of state should have inspirational travel. Like it goes, she is trying to discover a new ocean! Why so unprogrammed. Unafika unakokwenda ndo unaambiwa; Oooh! Huyu ni Kimambi oooh! selfie kidogo! Oooh Bhla! Bhla! Rais wa nchi au kitu gani?Hahahahaaaaa......
Mkuu, you have made me lough hysterically. Lakini baada ya mkutano au mida ya jioni huwa Rais anaweza kukutana na Watz nyumbani kwa Balozi wa Tz! Hapo ndiyo Mange alijichomeka (natumia neno alijichomeka kwasababu yeye ni raia wa US)