Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

Ongezea Misri II akitoka China kwani ni lazima aende kwenye Mkutano wa “climate change” Misri , rejea ukame TZ!
 
Naomba huu uzi uwe updated na kila safari yake atakayoifanya tuone yeye na Vasco wa msoga nani amesafiri kwa tija. Maana huyu kilabanapornda ni kukopa tuu
 
Madam President alishatoa ahadi ya kuifungua nchi. Kazi inaendelea.
 
Kila safari ikiwa atatumia 100Milioni, inamaana hadi sasa atakuwa ameshatumia 2.5Bilioni........
 
Katika hali iliyofurahiwa na Watanzania wengi ni pamoja na Rais Suluhu Kusafiri nje ya nchi kila baada ya wiki mbili jambo ambalo linakujza diplomasia ya uchumi n a kuvutia wawekezaji wanje.
Marasi waliopita walikuwa wanajifungia ndani na tulikosa ushirikiano, tulikosa mikopo, tulikosa elimu nje ya nchi lakini sasa yote tunapata.
baadhi ya nchi alizokwenda tangu aingie ni hizi hapa.
Nchi alizofika Mama mpaka ya leo.
1: 10 Apr 21. - -> Uganda.
2: 4 May 21 - -> Kenya
3: 12 May 21 - -> Ugan da
4: 22 June 21 - -> Msumbiji
5: 16 Jul 21 - -> Burundi
6: 02 Aug 21 - -> Rwanda
7: 16 Aug 21 - - > Malawi
8: 24 Aug 21 - - > Zambia
9: 18 Sep 21 - - >. UN HQ (USA)
10. 20 Oct 21 - - > Scotland
11. 10 Nov 21- - > Misri
12. 10 Feb 22 - - > Ufaransa
13. 15 Feb 22 - - > Ubelgiji
14. 24 Feb 22 - - > Dubai
15. 13 April 22 - - > USA
16. 10 May 22 - - > Uganda
17. 23 May 22 - - > Ghana
18. 11 June 22 - -> Oman (kwa ndugu zetu )
19. 06 Jul 22 - - >. Senegal
20. 16 Aug 22 - - > DRC ( Congo)
21. 13 Sep 22 - - > Kenya
22. 17 Sep 22 - - > United Kingdom
23. 21 Sep 22 - - > Msumbiji
24. 04 Oct 22 - -> Qatar
25. 02 Nov 22 - -> China
+____________________________
kabla mwaka haujaisha atakwenda nchi nyingine kukuza diplomasia yetu;
Asante SAMIA
 
Watakufungulia kesi ya uhaini, kwa ku track safari za Mama Safia....
Hilo ni tishio la usalama wa Nchi.....😬
 


So what
 

Attachments

  • 1667755957711.png
    18.1 KB · Views: 15
Kula nchi mama. Kuna inflation dunia mzima hata matekani. Hela iko wapi ya kuomba Omba? Huyu mama hajali kitu. Safari moja tu ni mabillioni cost yake!
 
Another vasco da gama supported by vasco Kikwete! Tetetehh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…