Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

Akisoma maoni ya watz atacheka na wenzake wanaomdanganya ila hajui watu walivyo na hasira naye
 
Lucas hasara ya wanambeya kasemaje?!juu ya hili huu uzi bila chawa kutoa neno usifungwe
 
Gotdamn!!

Huyu mama anasafiri aisee!!

Hivi tokea achukue madaraka keshakaa nyumbani hata mwezi mzima bila kutoka?
Mama kakipata, anakitumia.

Nina yakini ilikuwa ndoto yake kufanya world tour, amepata fursa ya all expenses paid trip, anajiachia tu.
 
Mkuu Shujaa Mwendazake , msitake kuleta mambo ya mwendazake hapa, atulie nyumbani kufanya nini?. Kila trip ina manufaa makubwa kwa nchi, mfano leo, Rais Samia ndie Mgeni rasmi.
Ukifanya a quick comparative analysis ya Rais Samia, kati ya kuhudhuria tukio hili na kuhudhuria UNGA, utakuta kuhudhuria tukio hili kuna carries more mileage.
Angalia hoja za umuhimu wa tukio hili. It's worth it.
P
 
Kazi ya January makambah hiyo,toka apangwe waziri wa mambo ya nje,daily anampangia ruti bi kizmkaz

Lakin Yuko sahihi,manake hata akikaa nchin Hakuna afanyalo,anaishia kuboeka tu,na kwenye mabotik na salon za kibongo hawez kwenda,so hiyo no njia moja wapo ya yeye kufanya shopping.

Mie ni mwanamke Ila siafiki aje achaguliwe raisi mwanamke ever again,manake wanapewa vilaza,wanawake smart,intelligent,wenye mission na vision,hawapewi hizo nafasi ,hata kwenye maofisi ya Umma ni ushahidi tosha.Smart women hawapewi nafasi za uongozi Tanzania,unless avuliwe kyup😢😢
 
Chawa kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…