Safi sana Rais Kagame; kama kawaida yako Umenusa 'Tego' la 'Geneva ya Afrika' na 'Ukachomoa' kwenda, hivyo imekula kwao

UN ikiwapa kisogo mmeisha.
 
Paranoia is the feeling that you're being threatened in some way, such as people watching you or acting against you, even though there's no proof that it's true. It happens to a lot of people at some point. Even when you know that your concerns aren't based in reality, they can be troubling if they happen too often.
 
ndoto za asubui
 
Acha ujinga we jamaa si uende huko Rwanda popoma mkubwa
 
Ifikie mahala DRC iukatae unyonge wake ipambane kwa ukubwa wake, wakongoman waungane wawe kitu kimoja wakatae kunyonywa na Mr. Skeleton, wakatae kugombanishwa.
Tshekedi anakazi kubwa ya kufanya kuunganisha wakongoman.
DRC HAIKUTAKIWA KUCHEZEWA NAMNA HII.
INGELITAKIWA IWE SUPER POWER KWA UPANDE HUU.
 
Jamaa kwa fake news hajambo, watu wako busy na maswala ya kiuchumi zaidi, inabidi uchongewe sanamu la mtu muongo zaidi Jf.
Unajua kubuni uongo unaofanana na mazingira!
Na Watu 'very Genius' hivyo ndivyo walivyo. Najivunia hizi Sifa zangu ulizonitunuku nazo hapa.

Poleni kwa Kumkosa 'Genius' wa Rwanda katika 'Tego' lenu la Jana kule Geneva ya Afrika.
 
Tuchokozeni ili mkione cha Mtema Kuni.
 
Hivi huwa unapata wasaa wa kujisikiliza?
 
Tuchokozeni ili mkione cha Mtema Kuni.
Mtema kuni ya nyoko !?, hapo makambi ya Benako wakimbizi wa kiNyarwanda wanashindia kwa kula biskuti na juice hebu kawahudumie (if you can even do that, mkimbizi mwenzao) kwanza achana na kutishia Simba wakati wewe ni Sungura mgonjwa. Taifa la wakimbizi mnaitishia Tanzania inayotunza wakimbizi wenu, you must be very stupid to think you can stand against us.

Nyie mkileta ujinga tunawapiga kwa majeshi ya mkoa wetu mmoja tu tunakazingira hako kakitongoji kenu kila upande stupid concroches.
 
Na Watu 'very Genius' hivyo ndivyo walivyo. Najivunia hizi Sifa zangu ulizonitunuku nazo hapa.

Poleni kwa Kumkosa 'Genius' wa Rwanda katika 'Tego' lenu la Jana kule Geneva ya Afrika.

Magenius wa kuuana kwa mapanga contena 4 !?, magenius wakimbizi, magenius maskeleton, magenius Banyamulenge au magenius wa michongo ya wizi DRC ?!

Which group of genius are you Mr. GENTAMYCINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…