NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Tena angeandaa katiba nzuri mno kwamba Rais siyo msemaji wa Mwisho pia Anaweza wajibishwa akia madarakani kama atavunja Haki za Binadamu NDANI ya NCHI!!Kosa kubwa alilofanya genius wako uchwara ni kutowafanya wanyarwanda kuwa wa1,siku akiondoka pale patakua apatoshi zaidi ya 1994
Sasa yeye kang'ang'ania madaraka Hadi Leo tena anaandaa Mtoto wake nadhani Ivan kushika hatamu na museven nae ivo ivo!!
Pia Rais anakuwa chini ya uangalizi wa the State Yaani east African state ambapo ndani yake wapo makomando wa majeshi yote ya nchi za Africa mashariki!marais wastaafu wa Africa na wastaafu pia na majenerali wa majeshi ya nchi za Africa mashariki!!Rais alizingua TU ananyofolewa kirahisi,pia hana Kinga ya kutoshtakiwa!!
Pk angefanya hayo leo angekuwa Baba wa wanyarwanda kuliko ilivyo Sasa!!