Kweny hii nyuzi WaTanzania wameonesha jinsi gani wanapenda nchini Yao na hawataki mchezo Rwanda aendelee kumiliki tu vikundi vya ugaidi ila kupigana vita ni Risk kubwa sana kwao uwezakano wa Vita vya kikabila nchini kwao kurudi ni rahisi sana
Mtema kuni ya nyoko !?, hapo makambi ya Benako wakimbizi wa kiNyarwanda wanashindia kwa kula biskuti na juice hebu kawahudumie (if you can even do that, mkimbizi mwenzao) kwanza achana na kutishia Simba wakati wewe ni Sungura mgonjwa. Taifa la wakimbizi mnaitishia Tanzania inayotunza wakimbizi wenu, you must be very stupid to think you can stand against us.
Nyie mkileta ujinga tunawapiga kwa majeshi ya mkoa wetu mmoja tu tunakazingira hako kakitongoji kenu kila upande stupid concroches.
Cocroch ilikuwa tusi kubwa sana kipindi cha genocide. Hapo umemtukana sana proKagame yyte yaani leo wanaweza wasile kwa hasira manake watakumbuka yale machete ya 1994 hahaaaaaa
Na ninawatieni Ndimu ( Nawapanikisha ili Mkasirike ) kwa Makusudi ili mkasirike na muanze Kujitapa kwa kusema Intelligence and Defence Strong Points zenu ili mnirahisishie Jukumu Kuu nililokabidhiwa na Kuaminiwa nalo la Taifa la Rwanda.
Kagame atakuwa mpumbavu kupigana na Tanzania hasa wakati huu. Ka nchi kagodo kama ka Rwanda hakawezi kupigana na nchi kubwa kama Tzanania.
Tukitaka kupigana na Rwanada tunaanzia ktk uchumi, mafuta, potential items zote zinaingia ktk utata kutoka Dsm Port for six months. Baada ya hapo ni kuomba msaada Congo, Burundi na waasi na maadui wa Kagame front lines halafu Tanzania decorated commanders wanaimaliza hiyo vita yaani ndani ya siku tatu vikosi vinakutana Kigali wakati Kagame atakuwa ashakimbilia Uganda.
Au tunaacha yote haya tunapiga stoges wake wa M23 pale kongo kumpa meseji akikaza shingo Kigali inakuwa kama Mariopol
.....Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you...
www.jamiiforums.com
Tujikumbushe kidogo PAKA alipompiga mkwara JK in 2013.
Mziki uliofuata kuna karnali wa JWTZ aliedhani wenzake awamjui kukimbilia Rwanda haraka sana kwa usalama wake bila ya kufuatwa na mtu yeyote; halafu kuna mziki uliopelekwa Rwanda kimya-kimya wahusika wanadai Kagame hakuwa akilala Ikulu kwa miezi sita anajificha.
Baada ya hapo neno Tanzania na raisi wake anapowaongelea ni kwa adabu na heshima; ajawahi thubutu tena kuropoka upuuzi kuhusu Tanzania.
Huyo jamaa akuwahi hata kufika chalinze,alifinywa hapa hapa,kupunguza maswali ya familia yake ikawa amekimbilia rwanda,hiyo familia yake mpaka leo hata huko rwanda haijui pakumpata
Nikitafakali kwa kina Sana nakubaliana na kagame,ni heri Mali ya DRC na yy afaidi ,kuliko wafaidi wazungu ambao sio bara lao na sio wa Africa,wao DRC wameshindwa kuzilinda zisipolwe na wazungu ,wanahangaika na ndg Yao kagame!!
Huyo jamaa akuwahi hata kufika chalinze,alifinywa hapa hapa,kupunguza maswali ya familia yake ikawa amekimbilia rwanda,hiyo familia yake mpaka leo hata huko rwanda haijui pakumpata
Mmeshachelewa kwani wapo ( tupo ) huko Kwenu ( tena maeneo very Strategic and Sensitive ) kabla na hata baada ya 1994 Rwanda Genocide.
Udhaifu wenu wa Akili unatusaidia Kujipenyeza Kiurahisi na kuyajua mengi na pia Kujipanga vyema jinsi ya Kujilinda nanyi na Kuwakabili kama mkilianzisha nasi.
Na Nawaonya msije mkathubutu kwani hamtoamini pamoja na Udogo wetu wa Kijiografia na msisahau kuwa Rwanda ndiyo Israel ya East Africa Community.
Tz ina ujinga mwinga sana, kuna Wanyarwanda wapo kwenye sekta nyeti na vyombo vyetu vya usalama vimebaki kukimbizana na CHADEMA. Tena hawa watu wana mpaka vikao vyao na wanajuana ni yupi yupo wapi.
Acha kuisifia Rwanda Kagame hajajenga mfumo jumishi na kaminya denokrasia.Hapo ana muda mfupi asipoachia madaraka na Rwanda itapoteana tena kumbuka akina Nyamwasa walipo na makundi mengi ya nje, siku uakiungwa mkono Kwisha habari yenu.
Hivi kwenye hizi nchi za maziwa makuu Allies wa Rwanda ni nani?
Uganda pekee ndie alikua na mafungamano na PK, ila baada ya kutibuana na Mu7 wameingia kwenye uadui mkubwa ilibakia kidogo tu waanze kutwangana.
Kanchi kenyewe kadogo badala ya kuimarisha urafiki na majirani wanaokuzunguka ili uishi kwa amani wewe ndio kwanza unazidisha chokochoko na kila jirani uliepakana nae.
Burundi, Congo, Uganda, TZ yaani hapo umebakiza kumchokonoa Mkenya tu ili ukamilishe hesabu. Hata huyo Mkenya mwenyewe mngekua mna share nae mipaka mngekua tayari mshagombana.
Hivi kwenye hizi nchi za maziwa makuu Allies wa Rwanda ni nani?
Uganda pekee ndie alikua na mafungamano na PK, ila baada ya kutibuana na Mu7 wameingia kwenye uadui mkubwa ilibakia kidogo tu waanze kutwangana.
Kanchi kenyewe kadogo badala ya kuimarisha urafiki na majirani wanaokuzunguka ili uishi kwa amani wewe ndio kwanza unazidisha chokochoko na kila jirani uliepakana nae.
Burundi, Congo, Uganda, TZ yaani hapo umebakiza kumchokonoa Mkenya tu ili ukamilishe hesabu. Hata huyo Mkenya mwenyewe mngekua mna share nae mipaka mngekua tayari mshagombana.
Nimegundua kuwa licha ya kuwa ni Fool naturally lakini pia hauko up to date na Current News.
Taarifa ikufikie kwamba Uhusiano wa Ndugu hawa Rwanda na Uganda umerejea na sasa umekuwa ni wa Upendo zaidi.
Miezi Mitano iliyopita Mtoto wa Rais Museveni ( ambaye mwaka 2014 GENTAMYCINE ) nilifanya nae Ziara Maalum ya Kumtembeza Upanga jirani na Hospitali ya Muhimbili alipozaliwa, nikampeleka UDSM alikosoma Baba yake Mzazi ( Rais Museveni ) na tukamalizia Nyumba ya Ukumbusho ya Mwalimu Nyerere pale Magomeni aitwae Muhoozi Kainerugaba ( Rais ajaye wa Uganda 2026 ) alienda nchini Rwanda kwa Ziara Maalum ya Kuonana na Mjomba wake Rais Kagame na Kumaliza tofauti zao zote na Rais Kagame akaenda katika Birthday ya Muhoozi nchini Uganda na baadae kuonana na Rais Museveni na Kusameheana yote.
Hivi majuzi tu Rais Museveni nae alienda nchini Rwanda na kupata Mapokezi makubwa ikiwa ni Kiashirio cha kurejesha Udugu wao na wakaamuru pia Mipaka yao iliyokuwa imefungwa kwa zaidi ya miaka Mitano ifunguliwe na Shughuli za Kibiashara na Safari baina yao ziendelee.
Na Mshirika ( Allie ) mwingine mkubwa wa Rwanda na Rais Kagame nje ya Uganda na Rais Museveni ni Kenya na usichokijua tu ni kwamba Wakenya Wanawadharau mno Watanzania ila wanawapenda sana Wanyarwanda kwakuwa wamegundua kuwa Wanafanana nao ideologically tofauti na kwa Watanzania wenye Uvivu, Majungu, Ushamba na Uswahili mwingi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.