Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Tena style hiyo ya kizenji ndo inapendeza zaidi, si unaona vidume vinavyopandisha mzuka na kufinga vibwebwe kabisa viunoni wakicheza?
Bado mtoto mdogo sana wewe. Subiri ukue ndo utaelewa.Hizo ni kazi za katibu mwenenzi kujitoa ufahamu.
Sio kwa taasisi kama ya urais kuropoka ropoka habari za uongo.
Yani sawa sawa na baba kuonekana mjinga mbele ya familia unaita tabia za kizenji....
Mnazidi kuonyesha mlivyo empty set😀, eti style ya kizenji, kumbe ni low IQ. Hesabu sio za kila mtu. Ile video mmeondoa ya nini YouTube!?,hamkuwaza kama mmechelewa tayari ipo hewani?Bado mtoto mdogo sana wewe. Subiri ukue ndo utaelewa.
Umechelewa sana mdau, utaelewa tu siku Moja.Ingekuwa ni style wala isingehitaji ufafanuzi na kufuta hotuba mitandaoni ili watu wacheze zaidi.
Umeshapatikana tayari. Vipi, mtaandaa maandamano tena ya kwenda kumtoa kama tarehe 29?😄😄😄Aibu tupu!!
Narudia, Bado bwana mdogo sana wewe, you know nothing about these political games!Mnazidi kuonyesha mlivyo empty set😀, eti style ya kizenji, kumbe ni low IQ. Hesabu sio za kila mtu. Ile video mmeondoa ya nini YouTube!?,hamkuwaza kama mmechelewa tayari ipo hewani?
Baada ya Gerson Msigwa naye kutoa boko, imebidi we Kilaza bibi yake Shida Mchengerwa kuja kujitetea na kujitoa ufahamu humu JF kwamba ulikosea kwa makusudi.Tena style hiyo ya kizenji ndo inapendeza zaidi.......si unaona vidume vinavyopandisha mzuka na kufinga vibwebwe kabisa viunoni wakicheza?!!!
Kutoa maboko ndio political games? Wanaccm hamna akili.Narudia, Bado bwana mdogo sana wewe, you know nothing about these political games!
Heheheheeee!Kwahiyo mafuta yanauzwa dola mia nane USA sio?Hakuna anayechezeshwa kalinyambariga sema jamaa lenu halina akili hiyo pesa angeliweka kwa shilingi angeweza kweli kusema uchizi ule?
🖕Heheheheeee!
Mission ipo 96% mpaka Sasa, inakamilika hivi punde. Hivi ndo nyie mnasema mna akili?!!!!🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona mnabemendwa kiboya sana, ona Sasa!!
Wewe unaamini ujinga ujinga? Fala sanaTena style hiyo ya kizenji ndo inapendeza zaidi.......si unaona vidume vinavyopandisha mzuka na kufinga vibwebwe kabisa viunoni wakicheza?!!!
Sawa akili sina lakini hakuna mafuta ya bei hii labda kama mnaishi Pluto.Usd 800 ata exchange rate ingekuwa dola moja kwa shilingi 1000 bado.Sawa tufanye alimanisha ni kwa gallon na sio litre bado tunasema hesabu haziko sawa au tufanye mambo kuwa mepesi kwamba alimanisha pipa bado.Heheheheeee!
Mission ipo 96% mpaka Sasa, inakamilika hivi punde. Hivi ndo nyie mnasema mna akili?!!!!🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona mnabemendwa kiboya sana, ona Sasa!!
Mtu anavua nguo barabarani, badala ya kumpeleka mirembe wewe unamshangilia. Uchawa kazi mbovu sana.Tena style hiyo ya kizenji ndo inapendeza zaidi.......si unaona vidume vinavyopandisha mzuka na kufinga vibwebwe kabisa viunoni wakicheza?!!!