Tena style hiyo ya kizenji ndo inapendeza zaidi, si unaona vidume vinavyopandisha mzuka na kufinga vibwebwe kabisa viunoni wakicheza?
Kwa kifupi haters mmekwisha, mmebaki kudandiadandia matukio tu yasiyowafaidisha chochote. Vipi, maandamano yenu ya kumtoa ikulu, yapo tena?!!Mtu anavua nguo barabarani, badala ya kumpeleka mirembe wewe unamshangilia. Uchawa kazi mbovu sana.
Hakuna excuse of low IQ dunia hii, kila binadam ana smartphone or yupo connected to internet na amelimika. It not easy kufanganya hapaf watu wasijueTena style hiyo ya kizenji ndo inapendeza zaidi, si unaona vidume vinavyopandisha mzuka na kufinga vibwebwe kabisa viunoni wakicheza?
Kwani unakutoka upepo mkuu?!!! Unatokea wapi?!! Sababu ni nini ya kutokuwa na upepo huo?!!Kaka ungesubiri upepo upite
Kwahiyo una smartphone boooomba kabisa kumzidi Samia, au sio?!! Dunia yote kiganjani kwako.Hakuna excuse of low IQ dunia hii, kila binadam ana smartphone or yupo connected to internet na amelimika. It not easy kufanganya hapaf watu wasijue
Low iQ is low Iq
Pole sana, unafikiri wewe na magufuli nani ana akili?!!! Pimbi we!Kumpa u president uyu mkuna nazi ni laana kwa Taifa. litatugharimu sana hili kosa kwa miaka mingi.
Eti kuwachezea haters wakeTena style hiyo ya kizenji ndo inapendeza zaidi, si unaona vidume vinavyopandisha mzuka na kufinga vibwebwe kabisa viunoni wakicheza?
Unaumia ee?!! Hivi maandamano yenu ya kumtoa ikulu yanafanyika lini tena kamanda wa makamanda?!!!😆😆😆Eti kuwachezea haters wake
Unajaribu ku justify ukilaza wa mama yenu 😂😂
Is not about smartphone ila wepesi wa kujisomea na kufanya researchKwahiyo una smartphone boooomba kabisa kumzidi Samia, au sio?!! Dunia yote kiganjani kwako.
SawaIs not about smartphone ila wepesi wa kujisomea na kufanya research
Wengine hapa tuna exposure ya nje , so unapokuja kutoa info jipange and Yes bei za mafuta si suala la siri liko wazi, information is there world wide
Endelea kuhamisha mada na kumtetea huyu kilaza wenu 😂😂Unaumia ee?!! Hivi maandamano yenu ya kumtoa ikulu yanafanyika lini tena kamanda wa makamanda?!!!😆😆😆
1. Magu alichomekewa tu huyo kilaza hakuwa chaguo lake.Pole sana, unafikiri wewe na magufuli nani ana akili?!!! Pimbi we!
Sawa, hivi mnaandamana lini tena kumtoa?!!!Endelea kuhamisha mada na kumtetea huyu kilaza wenu 😂😂
View attachment 3569849
Wapangaji needed mtu mdhaifu pale mbele ili waweze ku control the state1. Magu alichomekewa tu huyo kilaza hakuwa chaguo lake.
2. Hakujua kama atakuwa eliminated before his tenure ends. Kosa kubwa alilofanya ni kuwaamini hawa murderers.
Anyway, ukivuliwa nguo chutama, huo ndiyo uungwana. Au ukilewa usichat yakheee.
Hebu kajiangalie kwanza kwenye kioo Huku ukiwa unasemaje hayo maneno ujione ulivyo pimbi.1. Magu alichomekewa tu huyo kilaza hakuwa chaguo lake.
2. Hakujua kama atakuwa eliminated before his tenure ends. Kosa kubwa alilofanya ni kuwaamini hawa murderers.
Anyway, ukivuliwa nguo chutama, huo ndiyo uungwana. Au ukilewa usichat yakheee.
Vipi kuhusu yake maandamano yenu ya kumtoa ikulu, yapo tena?!!Kiufupi hata wenyewe CCM mnajua kua ana uwezo mdogo.