Safi sana Rais Samia, endelea kuwachezesha haters wako kalinyambariga hivyo hivyo

Uzuri hatakaa milele hapo hata akijiongezea miaka.
Bwahabwahabwahaaa!
Mmeshaelewa somo ee? Mtulie Sasa, labda mlichobaki nacho ndo hiki kushadadia na kushangilia vitu visivyo na maana.
 
Bwahabwahabwahaaa!
Mmeshaelewa somo ee? Mtulie Sasa, labda mlichobaki nacho ndo hiki kushadadia na kushangilia vitu visivyo na maana.
Siku akienda akirudisha mpira utaona mitaa itakavyolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…