Sio kweliIsrael kabaki peke yake sasa, atatembezewa moto mpaka maji aite mma
Mimi nimeshtuka pia, inaweza ikawa ParodyHivi ni huyu huyu Mr. Trump kweli? Hiyo sentence ya kwanza, " I am please"... typo au ni nini?
Wewe unamuamini huyo chi.ziNiaje waungwana
Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya. Lakini pia kuwa wapole 🤣🤣🤣View attachment 3561690
Parody watu wanajua kucheza na AIHii ni official page ya D. Trump?
have hadWITCH WILL CONTINUE THROUGHOUT? Come on
Tunaomba link hii screenshot hatuiamini kabisahave had
Ameandika akiwa anaweweseka
Duh,Niaje waungwana
Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya. Lakini pia kuwa wapole 🤣🤣🤣View attachment 3561690
Mimi nimeshtuka pia, inaweza ikawa Parody
Parody watu wanajua kucheza na AI
Mzee alikua amepiga bia 3 mpaka 4 nini mboni ameandika km kichwa kimejaa maji?View attachment 3561698Na al jazeera
Labda ameandika huku akiwa analia mkuu.Hivi ni huyu huyu Mr. Trump kweli? Hiyo sentence ya kwanza, " I am please"... typo au ni nini?
Amiinike au asiaminike hiyo ni juu yake. Alitoa masaa 48 ya kufungua Strait Hormuz au ashambulie miundombinu ya umeme.Wewe unamuamini huyo chi.zi
Anachoongea tofauti na kinachotendeka.
IRAN WENYEWE HAWAMWAMINI.
Amemuogopa Kim Jong UnNiaje waungwana
Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya.
Kwanza Iran ndio nchi ya kwanza kuingia vitani na Marekani huku ikiwa imeungana na Israel
Pili Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia nchi 10 kwa wakati mmoja na kwa muda wa week 3 bila kupumzika. Nchi hizo ni Saudi Arabia, Qatar, Kuwait, Jordan, Dubai, Israel na kambi zote za Marekani zilizopo katika eneo la mashariki ya kati, na bila kusahau UK iliyotikishwa juzi kupitia kisiwa chake cha jeshi.
Tatu ndio nchi ya kwanza kushambulia Israel huku kukiwa ni maelfu ya mifumo ya anga na ardhini hadi kupelekea baraza zima la Netanyahu kulia mbele ya camera ili kuomba msaada wa kijeshi kutoka nchi zingine.
Nne nchi ya kwanza kuangusha ndege ambayo ilikuwa haionekani kwenye rada, bila kusahau kuigeuza meli kubwa ya kijeshi ya Marekani banda la kufugia njiwa now.
Hii vita ya week 3 Iran imefanya mengi ambayo hayakutarajiwa, hadi waliokuwa wanaisharau kuanza kuihofia hasa baada ya kugundua wana makombora ya kupiga popote Ulaya 🤣🤣🤣View attachment 3561690
iran wamekatata wamesema hakuna maongezi yaliokuepoNiaje waungwana

Ndio maana halisi ya kurusha taulo ila amefanya kitu kizuri vita visivyokuwa na maana havipendeziMzee alikua amepiga bia 3 mpaka 4 nini mboni ameandika km kichwa kimejaa maji?