Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Miaka zaidi ya elfu 2 imepita sasa toka gharika iukumbe Ulimwengu..
Nuhu alitengeneza Safina, Chombo kilichobeba Viumbe hai, jinsia ke na me zaidi ya milioni saba
mpaka sasa hakuna Mwanadamu anayeweza kutengeneza Kifaa kama Safina ya Nuhu.. Hayupo!
Hakuna meli, boti wala jahazi lenye uwezo wa kubeba watu laki moja duniani..
Mungu ni Mkubwa kwa kweli..
Jina la Bwana Lihimidiwe