Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Chai tuu..Ilikuwa story ya kweli au ni chai iloyopikwa kwa ustadi wa hali ya juu kwa kuitwa viungo vingi.
Poor Brain, BRAZA CHOGO, johnthebaddest, Yesu Anakuja, Yesu anarudi, Yesunipendo, Lucas Mwashambwa.
Hii tulipigwa mkuu kubali ukatae. Nyoka hawezi kukaa na siafu ama siafu akae na wanyama haiwezi tokea hata siku moja au na siafu nao walikuwa2 me na ke? UONGOMiaka zaidi ya elfu 2 imepita sasa toka gharika iukumbe Ulimwengu..
Nuhu alitengeneza Safina, Chombo kilichobeba Viumbe hai, jinsia ke na me zaidi ya milioni saba
mpaka sasa hakuna Mwanadamu anayeweza kutengeneza Kifaa kama Safina ya Nuhu.. Hayupo!
Hakuna meli, boti wala jahazi lenye uwezo wa kubeba watu laki moja duniani..
Mungu ni Mkubwa kwa kweli..
Jina la Bwana Lihimidiwe
Maandiko ya bablia Yana code ngumu sana sio rahisi kila mtu kuelewa kwa mtu unaesoma biblia ni rahisi sana kuelewaMiaka zaidi ya elfu 2 imepita sasa toka gharika iukumbe Ulimwengu..
Nuhu alitengeneza Safina, Chombo kilichobeba Viumbe hai, jinsia ke na me zaidi ya milioni saba
mpaka sasa hakuna Mwanadamu anayeweza kutengeneza Kifaa kama Safina ya Nuhu.. Hayupo!
Hakuna meli, boti wala jahazi lenye uwezo wa kubeba watu laki moja duniani..
Mungu ni Mkubwa kwa kweli..
Jina la Bwana Lihimidiwe
Wapinga Kristo watakwambia tupia picha ya Nuhu akiwa chomboni.Miaka zaidi ya elfu 2 imepita sasa toka gharika iukumbe Ulimwengu..