Safisha safisha inaendelea huko serikalini, muda wowote kuanzia sasa Korogwe ataondolewa

Korogwe hadi Mombo

TOKA MAKTABA:

Brasil, Brazil

balozi Dr. Emmanuel Nchimbi na muambata Suleiman Mombo katika ubalozi wa Tanzania Brasil, Brazil

Emmanuel Nchimbi, Suleiman Mombo wameona jinsi serikali dhalimu za latino Amerika zinavyoshughulikia wapinzani. Wameona na kujifunza vikosi maalum vya paramilitary vinavyoendesha operesheni haramu za kuua kwa makundi wapinzani wa serikali za kudikteta.

Yumkini tuliyoyaona kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025 hadi 02 November 2025 na kyendelea vikosi vya wadunguaji vilivyovaa mabaka mabaka na tisheti nyeusi vikirandarana kuwavizia, kuwawinda, kuwapiga risasi mamia ya vijana ni yale waliyoyaona wakiwa Brazil na kuyaleta katika miji ya Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza n.k ambapo miili mingi ya watu waliopigwa risasi gizani ilionekana kutapakaa katika taifa la Tanzania

UDIKTETA WA PINOCHET, CHILE

View: https://m.youtube.com/watch?v=K2m-fkYAWQU

.

Mhe. Rais Michel Temer na Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil Mhe. Aloysio Nunes Ferreira Filho (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, watatu kutoka kulia ni Mama Balozi Jane Nchimbi, Bw. Frank J. Mhina, Afisa Ubalozi na Mkuu wa Utawala; na Bw. Suleiman Abubakar Mombo (the Plenipotentiary Minister of the Embassy) yaani Afisa Mwandamizi wa Ubalozi.

Balozi Dkt. Nchimbi na Mama Balozi Jane Nchimbi, wakisindikizwa Mara baada ya kumaliza kuwasikisha hati za Utambulisho kwa Rais

1740795570402.jpeg
 
Hapa nimeshaelewa code
 
Back
Top Bottom