Safisha safisha inaendelea huko serikalini, muda wowote kuanzia sasa Korogwe ataondolewa

Safisha safisha inaendelea huko serikalini, muda wowote kuanzia sasa Korogwe ataondolewa

M29 wala haimsumbui Samia.Angekuwa anajali basi asingemtumbua Simbachawene.Labda itakuwa wamedhulumiana michongo.
Ile tume kiini macho ikimaliza kazi yake, matokeo yatakuwa very simple, nguvu ilitumika kupita kiasi, watu wa vyombo wawajibishwe.... watajifanya kuleta mambo ya fidia etc etc

Hawezi kuendelea kutawala namna hii, lazima itafutwe namna. Wewe kiongozi kila ukifungua mdomo hali ya hewa inachafuka, hawezi kuendelea hivi mpaka 2030.
 
Back
Top Bottom