Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
Huyo nitakesha napata mvinyo.. Ili na kaka yake na Slow 🦥 apate wepesi kumfikiaKorogwe yupo sana, yule Kiranja mkuu wa nguo za kaki, nyeupe na kijani mpauko anafuata muda wowote kuanzia sasa.....
Korogwe ni mjinga lazima aondoke maana hakushauri Malkia vyema, alikuwa chawa badala ya kufanya kazi yakeKorogwe yupo sana, yule Kiranja mkuu wa nguo za kaki, nyeupe na kijani mpauko anafuata muda wowote kuanzia sasa.....
Acha wasomeshane namba.Ni kama kuna safisha safisha huko serikalini.
Nineambiwa baada ya mapete sasa ni zamu ya Korogwe.
Tega sikio…
momboKorogwe?
Hapa nimeshaelewa codeKorogwe hadi Mombo
TOKA MAKTABA:
Brasil, Brazil
balozi Dr. Emmanuel Nchimbi na muambata Suleiman Mombo katika ubalozi wa Tanzania Brasil, Brazil
Emmanuel Nchimbi, Suleiman Mombo wameona jinsi serikali dhalimu za latino Amerika zinavyoshughulikia wapinzani. Wameona na kujifunza vikosi maalum vya paramilitary vinavyoendesha operesheni haramu za kuua kwa makundi wapinzani wa serikali za kudikteta.
Yumkini tuliyoyaona kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025 hadi 02 November 2025 na kyendelea vikosi vya wadunguaji vilivyovaa mabaka mabaka na tisheti nyeusi vikirandarana kuwavizia, kuwawinda, kuwapiga risasi mamia ya vijana ni yale waliyoyaona wakiwa Brazil na kuyaleta katika miji ya Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza n.k ambapo miili mingi ya watu waliopigwa risasi gizani ilionekana kutapakaa katika taifa la Tanzania
UDIKTETA WA PINOCHET, CHILE
View: https://m.youtube.com/watch?v=K2m-fkYAWQU
.
ngoja wauwaneNi kama kuna safisha safisha huko serikalini.
Nineambiwa baada ya mapete sasa ni zamu ya Korogwe.
Tega sikio…
Nani kakwambia vita na wananchi imeisha?UZur sasa ni vita ya samia ccm na ccm nchimbi samia vs wannch ishapita
Korongwe -TangaKorogwe ni nani hapo mmeniacha