Ile tume kiini macho ikimaliza kazi yake, matokeo yatakuwa very simple, nguvu ilitumika kupita kiasi, watu wa vyombo wawajibishwe.... watajifanya kuleta mambo ya fidia etc etc
Hawezi kuendelea kutawala namna hii, lazima itafutwe namna. Wewe kiongozi kila ukifungua mdomo hali ya hewa inachafuka, hawezi kuendelea hivi mpaka 2030.