Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Mpango wa muda mrefu ni Makonda kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii.
Kupelekwa kwake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na baadaye “kutengenezwa” kuwa Mbunge wa Arusha haikuwa bahati mbaya.
Niwape tu taarifa Wamasai hasa wale mliokuwa mkifika kula nyama za Makonda kwenye matamasha yake: Inakuja safisha safisha Ngorongoro Awamu ya II, penda usipende and this time around it will be brutal.
Mtatapika nyama mlizokula na bia mlizokunywa.