Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

Weka na kibao kabisa " MTABIRI MAARUFU " halafu sasa endelea kueleza yanayokuja.

Wacha hizo. Wacha tetesi leta ukweli.
 
1. Flofesa Mwongo v/s Paulina Kondakta
2. Gaffo Warizi wa Tamisemitrella v/s Aliyah Hapiah.
Angalia angani!!

Novemba hii ilikuwa tupokee Ndege 3 kubwa, Mbili aina ya Bombardier CS300 ambazo zimebadirishwa sasa Zinafahamika Kama Airbus kutoka Canada na Moja Boeing 787-8 Dreamliner kutoka Marekani. Sijajua kwanini ndege haijaja badala yake kaja aliyekuwa Balozi wa Tanzania Huko Kanada anaitwa Bw. Kidata.

Endeleeni kuangalia angani.
 
Niliiandika kwa kubashiri kuwa kuna blacklist ambayo bwana "Mamusiba" anayo ila mada yangu mods waliifuta.

Na nilisema kwenye hiyo mada kuwa maneno ya Lissu ya kuwa akilimalizana na wapinzani atawageuki wao yanakwenda kutimia na nililenga zaidi walioko ndani ya chama na wale wote ambao bwana "Mamusiba" amekuwa akiwataja.

Niliandika kwa mafumbo na mwenye hilo gazeti nilimtaja kwa jina la "Mamusiba".

JamiiForums rudisheni mada yangu waliobisha waanze kupiga jaramba.
 
Back
Top Bottom