Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

hivi watu wanamwangusha au anajiangusha mwenyewe!? ili ule usemi wa nyani haoni kundule utimie kwakuwa yeye hayupo wa kumtumbua kwa katiba yetu zaifu tuliyonayo
 
Angalia angani!!

Novemba hii ilikuwa tupokee Ndege 3 kubwa, Mbili aina ya Bombardier CS300 ambazo zimebadirishwa sasa Zinafahamika Kama Airbus kutoka Canada na Moja Boeing 787-8 Dreamliner kutoka Marekani. Sijajua kwanini ndege haijaja badala yake kaja aliyekuwa Balozi wa Tanzania Huko Kanada anaitwa Bw. Kidata.

Endeleeni kuangalia angani.
Hivi mushumbusi na slaa ni mabalozi wa nchi gani??
 
Mmmm

Mtazamo wako tu.

July majuzi kabadili madc na marc wawaza ateue Tena??

Nadhani hata wangeshuka MALAIKA kwenye uwanja IMPOSSIBLE jukumu lingewashinda. Panda mbegu bora na mimea yake uitunze, tena ipasavyo, then hata mavuno yake uyalinde yasipotee. Hapo utajihakikishia UPATIKANAJI wa lishe toka kwa mavuno yale. Else, hakuna kitu hapo. Hata iweje. Never ever! Haijawahi tokea. However, history has that nasty propensity for repeating ..... tunalijua hilo. Just a fact. Watch this space
 
Hata hii inaweza isimhusu, labda kwakuwa yule mwingine ni RAS pale TBR
Kwa sasa hata Bashite akiondolewa, itakuwa ni "delayed reaction", Jiwe ataonekana kamtoa kwa pressure ya watu tu, si kwa kufuata kanuni yeye mwenyewe.

Bashite alitakiwa kuondolewa zamani sana, na issue ya makontena Dr. Mpango alicheza karata fresh sana, kama professional, kakipaka, halafu rais akawa anasuasua.

Tukaona kumbe huyu ukali wake wote huwa ana watu wake ananywea.

Pale Magu alionekana bonge la mzushi.

Kwa hiyo kwa sasa hivi hata Bashite akitolewa, itaonekana kwa shingo upande tu.

Yule Mama Anna Kilango Malecela katolewa ukuu wa mkoa kwa kusematu mkoa wake hauna wafanyakazi hewa,kitu ambacho mtu anaweza kuwa kaghafilika, sas huyu Bashite kadanganya mambo ya kodi, kavamia radio station, kafanya madudu kibao.

Anapeta tu!
 
sure, kuna kitu hakiko sawa awaondoe na hapo hazina pia awatazame wale wa mifuko ya hifadhi ya jamii pote kuna tatizo bila kusahau BRELA na TIC wote wanasuasua sana.
Mimi nilifikiri HAPA KAZI TU ilivyoingia kwa mbwembwe, baada ya miaka mitatu tusingekuwa bado tunahangaika na kuteu asubuhi na kutengua jioni!! What went wrong with HAPA KAZI TU (management na leadership vimeshindwa kutangamana?)
 
Back
Top Bottom