Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!. - JamiiForumsKwa sasa hata Bashite akiondolewa, itakuwa ni "delayed reaction", Jiwe ataonekana kamtoa kwa pressure ya watu tu, si kwa kufuata kanuni yeye mwenyewe.
Bashite alitakiwa kuondolewa zamani sana, na issue ya makontena Dr. Mpango alicheza karata fresh sana, kama professional, kakipaka, halafu rais akawa anasuasua.
Tukaona kumbe huyu ukali wake wote huwa ana watu wake ananywea.
Pale Magu alionekana bonge la mzushi.
Kwa hiyo kwa sasa hivi hata Bashite akitolewa, itaonekana kwa shingo upande tu.
Yule Mama Anna Kilango Malecela katolewa ukuu wa mkoa kwa kusematu mkoa wake hauna wafanyakazi hewa,kitu ambacho mtu anaweza kuwa kaghafilika, sas huyu Bashite kadanganya mambo ya kodi, kavamia radio station, kafanya madudu kibao.
Anapeta tu!
P