Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

Hakuna anayemwangusha ni yeye mwenyewe kwa kiburi na jeuri yake na kutoamini hata wasaidizi wake. Tunahitaji kufunga na kuomba Mungu atuondolee balaa hili
 
Chai hii

Guesswork to say the least
 

Mkuu nyoosha tu maneno kuwa serikali ya awamu ya tano mambo hayaendi pamoja na kufanya mambo mengi kwa mabavu,hata wa overhaul the whole system haitasaidia things are falling apart
 


Hayo ndo MAENDELEO YA VI-WONDERs....!!!
Watapukutika sana.....!!Tulimchagua wenyewe, tuimpenda wenyewe.....acha atupukutishe Magufuli ni mbele kwa mbele.Mbona tutanyooka..Hatari sana!!!
 
Mimi uwa najiuliza ilikuwaje walio kuwa wakurugenzi wazuri wa halmashauri kama yule aliyekuwa wa muleba kipindi cha jk akateuliwa kuwa mkuu wa wilaya ileje kipindi cha magufuri kwakweli sijawai kuelewa ile ni dimotion au ndo kupanda cheo yote kwa yote ila kwenye huu utawala wakurugenzi wengi wazuri sijui wamepelekwa wapi?
 
Tuletee na updates nyingine mkuu.
 
hii in staili ya uongozi inaitwa kitaalam uptrend and downtrend reversal mi mwenyewe naikubali kinyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…