Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

Huyu alipigwa makonzi sana alivyokuwa mdogo.

Kakua, kapata cheo, anaona kutesa watu ni haki yake sasa, kutesa kwa zamu, na hii ni zamu yake.
Mimi sijaona mahali kanyanyasa Mtu, zaidi tu ya lile tukio la kumwambia yule Mama "huwezi kunijibu mimi hivyo"
 
Mimi sijaona mahali kanyanyasa Mtu, zaidi tu ya lile tukio la kumwambia yule Mama "huwezi kunijibu mimi hivyo"
Inawezekana huoni kwa sababu huna macho.

Rais anafukuza watu bila due process.

Rais kasema atawapiga mpaka shangazi za wapinzani wake.

Rais kaiba mpaka hela za rambirambi za watu.

Kama hujaona hayo ni mahaba yamekupofusha macho.
 
Sio mengi kihivyo.
 
Sio mengi kihivyo.
Rais hatakiwi kuwa na rekodi ya kunyanyasa hata moja.

Akiwa nayo tutamsema.

Kwa sababu hatukumchagua anyanyase.

Na kwa sasa Magufuli ananyanyasa sana Tanzania. Watu wanalalamika sana.

Tatizo, ukizoea kukaa karibu na choo kinachonuka, ile harufu chafu anakuwa unaiona ya kawaida.

Ndicho unachofanya wewe hapa.

Umezoea rais kunyanyasa watu mpaka unaona kawaida tu.
 
Pogba atafanya yote lakini sio kumtupa mwanae kipenzi, wakati mwingine nahisi kama walilishana yamini, yalikuwepo mazingira mengi sana huko nyuma ya kumchukulia hatua na hakufanya hivyo why now? Yes the prince is an untouchable man.
 
Kuondoa watu sidhani kama kutasaidia tatizo ni kichaa chake, kipone kwanza hapo ndipo kutakuwa na tija kwenye uongozi wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…