Safu bora ya ushindi CHADEMA, Mkiti Lissu, Makamu Heche, Lema Mwenezi, Katibu Mnyika

Sio kwamba Lema kashajikatia tamaa na kaenda zake Canada? Atarudi uchaguzi wa nchi ukikaribia aone kama atabahatisha
 
Mtu kama Halima Mdee na Heche kamwe hawamo kwenye mipango ya Tundu Lissu
 
Unakumbuka mwaka 1995 enzi za Mrema?? Unakumbuka mwaka 2015 enzi za Lowassa??..
 
Mkuu siasa za nchi hii sio rahisi kihivyo, kati ya hawa wote hapa hakuna strategist(mwanamikakati) au mtu anayeweza kujenga grassroots network.
 
Mkuu siasa za nchi hii sio rahisi kihivyo, kati ya hawa wote hapa hakuna strategist(mwanamikakati) au mtu anayeweza kujenga grassroots network.
Waliokuwa na uwezo mkubwa wa kushuka chini kwenye grassroots ni Kitila Mkumbo na Zitto Kabwe. Hawa ndio walikuwa real stratergist wa CHADEMA. Baada ya kutoka wao huoni tena hata maandamano ya Chadema yakiwa na mantiki.
 
Mkuu siasa za nchi hii sio rahisi kihivyo, kati ya hawa wote hapa hakuna strategist(mwanamikakati) au mtu anayeweza kujenga grassroots network.
Tupe safu yako, kitendea kazi cha mwanasiasa ni mdomo wataalamu wapo nyuma ya pazia ofisini.
 
Waliokuwa na uwezo mkubwa wa kushuka chini kwenye grassroots ni Kitila Mkumbo na Zitto Kabwe. Hawa ndio walikuwa real stratergist wa CHADEMA. Baada ya kutoka wao huoni tena hata maandamano ya Chadema yakiwa na mantiki.
Zitto yupo ACT mbona hajaishua kwenye grassroots.
 
Kuna kiongozi asiyepigania tumbo lake hata Samia anapigania tumbo lake ndio maana mbali ya mshahara wake kakubali kupewa milioni 60 za fadhila kila mwezi.
Nimesema wenyeviti wa vyama vyama vya siasa. Au haujaelewa??
 
Hapo mtu wa maana ni Mnyika tu.
Kuwa mwanaharakati hakukufanyi uwe na sifa ya kuwa Kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…