Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,811
Reaction score
3,888
Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

1. Asubuhi unaamka na supu, chai na chapati na vitumbua
2. Saa nne unakula matunda sahani nzima
3. Mchana unapiga msosi (wali/ugali) ulioshiba wanga
4. Jioni unapiga chakula laini chips kavu au yai unashushia na soda
 
Haujawahi kushuhudia watu wenye roho mbaya wewe.Anakula hivyo vyote na hanenepi.
 
Mimi naombeni formula ya kula ninenepe, Dr am 4 real PhD
Mimi nilikua mwembamba Sana nilisoma nao kwa Sasa wakiniona wananiita BONGEE.

Haaahaa 😆 🤣

1. Takatisha akili ZAKO unatakatisha vipi akili hili ni SoMo right

2. Kunywa maji ya kutosha na kula balanced diet bila kusahau BIA MBILI KWA SIKU

BAADA YA THREE MONTHS MWILI UTAKUJA CHA KWANZA """AKILI YAKO ITAKATE""

AKILI IKITAKATA MWILI UNAKUJA AUTOMATICALLY.
 
Mwili unautaka wa kazi gani? Kwa ajili ya mieleka? Ubaunsa? Au isiwe rahisi kuingizwa kwenye Noah ya wasiojulikana?

Ukiutaka mwili uwe na sababu.

KUMBUKA KUPUNGUZA UZITO KUNA GHARAMA KUBWA ZAIDI.
 
we siku tukionana 😂 utanipa huu ushauri
 
Mwili unautaka wa kazi gani? Kwa ajili ya mieleka? Ubaunsa? Au isiwe rahisi kuingizwa kwenye Noah ya wasiojulikana?

Ukiutaka mwili uwe na sababu.

KUMBUKA KUPUNGUZA UZITO KUNA GHARAMA KUBWA ZAIDI.
Mimi sijawai/ sijapendaga kua kimbau mbau madharau mengi 🤣😁

Mimi napendaga huu MWILI wangu maana Nina kilo 85 na urefu wa 6ft

Sitaki kupungua na Nina kakitambi kazuri kakuvalia SUTI.

Wembamba ni fedheha/ dharau member watakuja kukwambia sababu ni kwa Nini uwe na MWILI bongee.
 
Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

1. Asubuhi unaamka na supu, chai na chapati na vitumbua
2. Saa nne unakula matunda sahani nzima
3. Mchana unapiga msosi (wali/ugali) ulioshiba wanga
4. Jioni unapiga chakula laini chips kavu au yai unashushia na soda
Mkuu sikuhizi maboga yana bei kuliko nyama na Chips
Magimbi Ndio Usiseme
 
Mimi naombeni formula ya kula ninenepe, Dr am 4 real PhD
Piga hii sana na bia
20230625_193751.jpg
 
Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

1. Asubuhi unaamka na supu, chai na chapati na vitumbua
2. Saa nne unakula matunda sahani nzima
3. Mchana unapiga msosi (wali/ugali) ulioshiba wanga
4. Jioni unapiga chakula laini chips kavu au yai unashushia na soda
Long passes ni muhimu ili kupunguza uzito.
Mchana mpaka mchana.
 
Back
Top Bottom