Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

Mimi nilikua mwembamba Sana nilisoma nao kwa Sasa wakiniona wananiita BONGEE.

Haaahaa 😆 🤣

1. Takatisha akili ZAKO unatakatisha vipi akili hili ni SoMo right

2. Kunywa maji ya kutosha na kula balanced diet bila kusahau BIA MBILI KWA SIKU

BAADA YA THREE MONTHS MWILI UTAKUJA CHA KWANZA """AKILI YAKO ITAKATE""

AKILI IKITAKATA MWILI UNAKUJA AUTOMATICALLY.
Wewe Dr wa mifugo acha kujisifia hilo jambo la hovyo hatari kwa afya. Ubonge ni laana.
 
Kama hufanyi kazi ngumu kula kidogo asubuhi kwa mfano chai na chapati 1 kisha usiĺe tena hadi jioni. Au kama kula asubuhi huwezi basi kula mchana kidogo. Usile zaidi ya mara 2 kwa siku kama kazi zako sio za kutoa jasho. Pia tenga lisaa kwa ajili ya mazoezi.
 
Wewe Dr wa mifugo acha kujisifia hilo jambo la hovyo hatari kwa afya. Ubonge ni laana.
Kilo 85 ni ubongee?? Ubonge kama wa corbis wa kombolela ule ni shida Ila Kwani wewe MAMASAMIA sio bonge?? ama wewe ni MAMASAMIA wa kiume 🕳️ 😁
 
Kwa ufupi kupunguza weight siyo jambo la masihara,nakimbiza upepo 3 times kwa week naenda 10 Km but unaenda mwezi wa nne ndiyo kwanza nimekata kilo sita tu.

Nikimuona mtu anauachia mwili hovyo kwa kunenepeana huwa namuonea huruma sana.
 
Mimi sijawai/ sijapendaga kua kimbau mbau madharau mengi 🤣😁

Mimi napendaga huu MWILI wangu maana Nina kilo 85 na urefu wa 6ft

Sitaki kupungua na Nina kakitambi kazuri kakuvalia SUTI.

Wembamba ni fedheha/ dharau member watakuja kukwambia sababu ni kwa Nini uwe na MWILI bongee.
Hazikutesi hizi mkuu?

Zamani nilikuwa natamani kitambi kimekuja sasa nahangaika kukitoa na mziki wake siyo wa nchi hii.
 
Kinachotuua ni misosi yetu hii, kupunguza tu kilo moja si mchezo. Kila siku watu wanakimbia road lakini wako vile vile.
 
Kwa ufupi kupunguza weight siyo jambo la masihara,nakimbiza upepo 3 times kwa week naenda 10 Km but unaenda mwezi wa nne ndiyo kwanza nimekata kilo sita tu.

Nikimuona mtu anauachia mwili hovyo kwa kunenepeana huwa namuonea huruma sana.
safi sana,
mie nafanya mazoez jasho likishatoka nikaridhika nageuza narud home,
 
Hazikutesi hizi mkuu?

Zamani nilikuwa natamani kitambi kimekuja sasa nahangaika kukitoa na mziki wake siyo wa nchi hii.
Unajua hakunaga mywa kvant mnene fanya studies. Kula vizuri mara moja kwa siku usinywe maji Sana piga kvant toti kadhaa kwa siku kitambi kitapululuka😁

Mimi na maintain uzito wangu 85kg sitaki kuongeza Wala kupungua mwili nau handle vizuri kabisaa kabisa
 
Kabisa mkuu.

Kama unapata walau ½saa kwa siku nje ya muda wa kazi zako kuuchangamsha mwili ni jambo jingine la muhimu sana.
huwa naamka 12 asubuhi, nlipo ni highland,, kuna kasehem kamenyooka flesh, huwa watu wengi tunakutana hapo,, kwa hiyo napanda nashuka, napanda nashuka, x 10
jasho chapachapa,, wengine wanaendelea hadi kwa peak kule juu kabisa, hewa flesh ni sauti za ndege na nyani, tumbili,, wengine wanatembe tu mana kampando sio poa.
kule juu kabisa kuna siku nlijaribu nilihisi kifua kinapasuka k****maeeee 😁,, nawachia wale konki master
 
Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

1. Asubuhi unaamka na supu, chai na chapati na vitumbua
2. Saa nne unakula matunda sahani nzima
3. Mchana unapiga msosi (wali/ugali) ulioshiba wanga
4. Jioni unapiga chakula laini chips kavu au yai unashushia na soda
Hiyo ya namba 4 ndio inawaponza wengi sana...
 
Kama hufanyi kazi ngumu kula kidogo asubuhi kwa mfano chai na chapati 1 kisha usiĺe tena hadi jioni. Au kama kula asubuhi huwezi basi kula mchana kidogo. Usile zaidi ya mara 2 kwa siku kama kazi zako sio za kutoa jasho. Pia tenga lisaa kwa ajili ya mazoezi.
Asante
 
Back
Top Bottom