Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

Unajua hakunaga mywa kvant mnene fanya studies. Kula vizuri mara moja kwa siku usinywe maji Sana piga kvant toti kadhaa kwa siku kitambi kitapululuka😁

Mimi na maintain uzito wangu 85kg sitaki kuongeza Wala kupungua mwili nau handle vizuri kabisaa kabisa
Unaandika ujinga. Kvant ni hatari kiafya.
 
Kwa ufupi kupunguza weight siyo jambo la masihara,nakimbiza upepo 3 times kwa week naenda 10 Km but unaenda mwezi wa nne ndiyo kwanza nimekata kilo sita tu.

Nikimuona mtu anauachia mwili hovyo kwa kunenepeana huwa namuonea huruma sana.
Mkuu usi-focus kupunguza kg. Focus kuwa fit na kupunguza nyama zembe. Kuna wanariadha ukiwatazama ni wembamba ila mkipima uzito wana kg za kutosha. Njia nzuri ya kupima kama unaenda sawa ni kupitia mavazi. Mazoezi yakikolea mwili unakuwa sawa hata ukivaa nguo zinakaa vizuri.
 
Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

1. Asubuhi unaamka na supu, chai na chapati na vitumbua
2. Saa nne unakula matunda sahani nzima
3. Mchana unapiga msosi (wali/ugali) ulioshiba wanga
4. Jioni unapiga chakula laini chips kavu au yai unashushia na soda
hivi Dr. Janabi ofisi yake iko wapi kwa sasa
 
Back
Top Bottom