Haujawahi kushuhudia watu wenye roho mbaya wewe.Anakula hivyo vyote na hanenepi.Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu
1. Asubuhi unaamka na supu, chai na chapati na vitumbua
2. Saa nne unakula matunda sahani nzima
3. Mchana unapiga msosi (wali/ugali) ulioshiba wanga
4. Jioni unapiga chakula laini chips kavu au yai unashushia na soda
Mimi nilikua mwembamba Sana nilisoma nao kwa Sasa wakiniona wananiita BONGEE.Mimi naombeni formula ya kula ninenepe, Dr am 4 real PhD
Mwili unautaka wa kazi gani? Kwa ajili ya mieleka? Ubaunsa? Au isiwe rahisi kuingizwa kwenye Noah ya wasiojulikana?Mimi nilikua mwembamba Sana nilisoma nao kwa Sasa wakiniona wananiita BONGEE.
Haaahaa 😆 🤣
1. Takatisha akili ZAKO unatakatisha vipi akili hili ni SoMo right
2. Kunywa maji ya kutosha na kula balanced diet bila kusahau BIA MBILI KWA SIKU
BAADA YA THREE MONTHS MWILI UTAKUJA CHA KWANZA """AKILI YAKO ITAKATE""
AKILI IKITAKATA MWILI UNAKUJA AUTOMATICALLY.
we siku tukionana 😂 utanipa huu ushauriMimi nilikua mwembamba Sana nilisoma nao kwa Sasa wakiniona wananiita BONGEE.
Haaahaa 😆 🤣
1. Takatisha akili ZAKO unatakatisha vipi akili hili ni SoMo right
2. Kunywa maji ya kutosha na kula balanced diet bila kusahau BIA MBILI KWA SIKU
BAADA YA THREE MONTHS MWILI UTAKUJA CHA KWANZA """AKILI YAKO ITAKATE""
AKILI IKITAKATA MWILI UNAKUJA AUTOMATICALLY.
Mimi sijawai/ sijapendaga kua kimbau mbau madharau mengi 🤣😁Mwili unautaka wa kazi gani? Kwa ajili ya mieleka? Ubaunsa? Au isiwe rahisi kuingizwa kwenye Noah ya wasiojulikana?
Ukiutaka mwili uwe na sababu.
KUMBUKA KUPUNGUZA UZITO KUNA GHARAMA KUBWA ZAIDI.
Sawa IDDwe siku tukionana 😂 utanipa huu ushauri
Kweli aisee. Kuna wakati hakuna uhusiano kati ya kula na kunenepaHaujawahi kushuhudia watu wenye roho mbaya wewe.Anakula hivyo vyote na hanenepi.
Mkuu sikuhizi maboga yana bei kuliko nyama na ChipsSahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu
1. Asubuhi unaamka na supu, chai na chapati na vitumbua
2. Saa nne unakula matunda sahani nzima
3. Mchana unapiga msosi (wali/ugali) ulioshiba wanga
4. Jioni unapiga chakula laini chips kavu au yai unashushia na soda
Piga hii sana na biaMimi naombeni formula ya kula ninenepe, Dr am 4 real PhD
sawa sawa kiongoziSawa IDD
Duuuh nipe minimum kwa siku au kwa wiki beer ngp ? Na hizo kiloPiga hii sana na biaView attachment 3351674
Hapo hatujaelewa kuna menu mbili hapoPiga hii sana na biaView attachment 3351674
Sipendi mpira niwaze nn mkuu?AView attachment 3351682
Acha hayo mawazo
Long passes ni muhimu ili kupunguza uzito.Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu