Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

Unaandika ujinga. Kvant ni hatari kiafya.
 
Kwa ufupi kupunguza weight siyo jambo la masihara,nakimbiza upepo 3 times kwa week naenda 10 Km but unaenda mwezi wa nne ndiyo kwanza nimekata kilo sita tu.

Nikimuona mtu anauachia mwili hovyo kwa kunenepeana huwa namuonea huruma sana.
Mkuu usi-focus kupunguza kg. Focus kuwa fit na kupunguza nyama zembe. Kuna wanariadha ukiwatazama ni wembamba ila mkipima uzito wana kg za kutosha. Njia nzuri ya kupima kama unaenda sawa ni kupitia mavazi. Mazoezi yakikolea mwili unakuwa sawa hata ukivaa nguo zinakaa vizuri.
 
hivi Dr. Janabi ofisi yake iko wapi kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…