Sahau kuhusu kufuzu, hakuna timu itakayopata goli huko ugenini Cairo & Pretoria

Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
NB: Usije ukakimbia uzi wako na kuanza visingizio ooh mmebahatisha, mmebebwa, sijui mara ooh hii sio Mamelodi tunayoijua...

Muda mwalimu mzuri
 
Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
Tushawachoka na NYIE subirin mechi KILA kukicha misri Pretoria woiii
 
Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
kwa maoni na mtazamo wangu, na hasa ukiangalia ukubwa na upana wa vikosi vyetu vya Simba na Yanga..... Cairo inawezekana kabisa kumshinda farao, Lakini pia na Pretoria inawezekana zaidi masandawana akakalishwa chini bila mbambamba wala tashwishwi yoyote 🐒
 
Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
Unataka likitokea useme ulijua na ulisema mapema?
 
Back
Top Bottom