Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Umesahau viwanda,huduma za jamii za world class kama taasisi za elimu na taasisi za kimataifa,shule nk nk ..

Kifupi Arusha iko level za Switzerland huko.
 
Hata Dubai ilikuwa na hali mbaya zaidi ya Dom ila leo ni tamu kuliko Dar au Nairobi..

Ni hivi Dom itawakimbiza Sana hizo Jiji uchwara.By 2030 Dom ndio itakuwa second City baada ya Dar kwa kila kitu.
Bro Mji wa Dodoma unategemea zaidi local sources ktk maendeleo. Lakini Dar , Mwanza na Arusha wana Local sources and Foreign sources kiserikali na individuals .
Kama na hili UTAGOMA kuelewa basi utakuwa tu ni ushabiki wa Simba na Yanga

Halafu acha kulinganisha hali ya Dubai na Dom. Ni kweli Dubai joto lipo lakini sio la chini ya ardhi kama Dom. Joto lao ni la Baharini ndio maana hata MTU anatakata na kunawiri. Sio Dom unafubaa
 
Dodoma is the City in the making
 
Upo sahihi kabisa. Wala hakuna haja ya kutupia picha. Takwimu zinasoma hivyo. Ambia wale wanaobisha wa google wapate majibu sahihi yaliyofanyiwa utafiti.

''The report, which was launched on Friday by the government, also identified seven regions with the high level of human development as Dar es Salaam, Arusha, Kilimanjaro, Iringa, Ruvuma, Mbeya and Tanga.''

Nime quote sehemu, ripoti ya serikali hiyo. Sasa acha watu waendelee kubisha.
 
Mji usiokuwa kando ya bahari ziwa au mto mkubwa, mandhari yake hata ufanye nini hayawezi kuwa ya kuvutia.
 
Umesahau mlima mkubwa kama ilivyo Arusha na Mlima Meru
nmeona hata nisimjibu
angejua nairobi, jo'berg, paris kote huko hakuna bahari
uyo hajawahi fika arusha aone mandhari ya mlima meru na ukijani wake
msamehe tu😢
 
Usisahau na ile sifa yenu kuu ya kupuliza msuba + mirungi ah alafu nasikia na siku izi Kuna mishoga lundooooo huko chuga
 
Usisahau na ile sifa yenu kuu ya kupuliza msuba + mirungi ah alafu nasikia na siku izi Kuna mishoga lundooooo huko chuga
na umetoka kwenye mkoa unaoongoza kuua albino🤣🤣
 
La pili Kwa kukusanya watu maskini kwenye slums nothing else..

Kumbe mambo co mabaya eti, sasa mnachomlalamikiaga huyu mama ni nini? Haya ukitoka hapa unahamia jukwaa lingine na kumlaumu mama oh hali ya maisha ni ngumu, vitu/vifaa vimepanda bei, huyu mama hafai.
 
Sio sahii,ni kimji kidogo tu tena Chenye barabara moja ya kuingilia Mjini na moja ya kutokea tu,na sehemu kubwa ya
Mji haijapangiliwa(viwanja havijapimwa)ukiacha sehemu chache km njiro
 
Sio sahii,ni kimji kidogo tu tena Chenye barabara moja ya kuingilia Mjini na moja ya kutokea tu,na sehemu kubwa ya
Mji haijapangiliwa(viwanja havijapimwa)ukiacha sehemu chache km njiro

Eti jiji la mwanza wanalifananisha na kaarusha kweli!!!! Kuhusu kamoshi yani hapa ndiyo wanalinivunja mbavu haswaaa 🤣🤣🤣 eti ipewe jiji 🤣🤣🤣 while kahama imeendelea kuliko kamoshi but tumetulia wala ha2jicfu na kujigamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…