Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Umetembea mikoa mingapi Tz?
Arusha wana wasichana wa Tanzania nzima, kuna kila sampuli ya warembo...
Pisi kali zilizokamilika kila kitu.
Pisi kali wazuri wa uso cc Warangi, wairaq, wanyaturu, wafyomi nk.
Pisi kali kwa maumbo vilevile na wa kawaida pia
flat na vtamb..
Nk Arusha
 
Umetembea mikoa mingapi Tz?
Arusha wana wasichana wa Tanzania nzima, kuna kila sampuli ya warembo...
Pisi kali zilizokamilika kila kitu.
Pisi kali wazuri wa uso cc Warangi, wairaq, wanyaturu, wafyomi nk.
Pisi kali kwa maumbo vilevile na wa kawaida pia

Ukiniambia waarusha asili nitakubaliana na wewe, tofauti na hapo hamna kitu halafu nimejaribu kuchunguza wengine wana meno kama mavi.

So hapa namaanisha kaskazini yote ukitoa tanga, waarusha tu ndiyo wazuri.
 
Panthetic ghost city of mwanza inaweza kweli shindana na Arusha kwa majengo marefu au unajilisha upepo?

KaArusha mkalinganishe na akina Mbeya, Tanga, dodoma. Mwanza na Dar paacheni kama palivyo, hata dodoma miaka michache ijayo itawanyamazisha.
 
KaArusha mkalinganishe na akina Mbeya, Tanga, dodoma. Mwanza na Dar paacheni kama palivyo, hata dodoma miaka michache ijayo itawanyamazisha.
Ukipata view yenye tall buildings kama hii ya Arusha hapo panthetic fishing town of Mwanza unitag

JamiiForums114532506.jpg


JamiiForums-1708683599.jpg


Screenshot_20211123-040437_3.jpg


Screenshot_20211216-194022_1.jpg


1(12).jpg
 
Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji.

Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya pili kwa wingi wa watu, lakini licha ya upya wake.

Lakini ndio jiji lenye hospitali nyingi za Private kwa uwiano wa watu kuliko mji wowote Tanzania sambamba na international schools.

Ndio wilaya inayoongoza kwa Ufaulu kwa matokeo ya shule za msingi na sekondari kwa miaka minne mfululizo.

Arusha inaongoza kwa kuwa na vyuo vya kimataifa vingi mf. Esami, TMA, na Nelson Mandela

Arusha pia ina hoteli 5 zenye hadhi ya kimataifa.

Ujenzi wa satellite cities ambazo zimepimwa kwa asilimia 100 mf. Safari city na Bondeni city

Ujenzi wa mradi mkubwa wa maji unaotosheleza Arusha yote na maeneo ya jirani sambamba na ujenzi wa sewage system unaoufanya kuwa mji wa kwanza nchini kuunganishwa na sewage system mji mzima.

Usafiri wa haraka kutoka sehemu moja hadi nyingine.

Arusha inahudumiwa na viwanja viwili vya ndege.

Arusha ndio mji wa pili kwa kuwa na largest foreign community nje ya Dar same as real estate licha ya kuwa na moderate population.

Kuzungukwa na kambi nyingi za Jeshi mf. Makuyuni, Ngaramtoni, Moshono, Oljoro na Duluti

Ufikaji wa urahisi Arusha kutoka kwenye miji mikubwa ya jirani mf. Nairobi, Mombasa, Dar es salaam na mji wetu mkuu Dodoma

Pia ni katikati ya Barabara ya mwanzo kabisa kuunganisha miji mikuu miwili ya utawala wa waingereza barani Afrika yaani Cape town na Cairo na kuwa na alama yake pale Clock tower jijini Arusha.

Uwepo wake karibu na vivutio bora zaidi vya utalii duniani ikiwemo mt. kilimanjaro, serengeti na ngorongoro

Bila kusahau leisure & conference facilities, shopping centers, office za kimataifa na hali ya hewa ya kustaajabisha inayoufanya mji huu kupokea asilimia 80 ya wageni wote wanaotembelea nchi yetu.

Zote hizi zimeshawishi uwepo wa ofisi kuu za mashirika na taasisi kubwa za ndani na nje ya nchi kama vile EAC, Mahakama ya Afrika, Papu, Tanapa n.k

Je, ni sahihi kusema Arusha ndio sehemu bora zaidi ya kuishi Tanzania.

View attachment 2038839

View attachment 2038840

View attachment 2038841

View attachment 2038842

View attachment 2038843
.

View attachment 2043041

View attachment 2043076
Hizo sifa yLakini ukifika Arusha yenywe sasa... unajiuliza hivi nani analipwa na analipwa kiasi gani kuutangaza mji wa ovyo kama ule??
Mji umesongamana sehemu moja kama nywele za kwapa! Mchafu mchafu... Huduma hazina uhakika... Usumbufu wa polisi... Usafiri shida...
Barabara za shida...
Arusha ndo mji mtu akitaka nyumba ya kupanga dalali anamuuliza "ya udongo/tope au ya block? "Ya umeme au giza?
Maji ya shida...
 
Lakini ukifika Arusha yenywe sasa... unajiuliza hivi nani analipwa na analipwa kiasi gani kuutangaza mji wa ovyo kama ule??
Mji umesongamana sehemu moja kama nywele za kwapa! Mchafu mchafu... Huduma hazina uhakika... Usumbufu wa polisi... Usafiri shida...
Barabara za shida...
Maji ya shida...
Sahiv maji bwereeee, barabara zimepanuliwa na nyingine zinapanuliwa hadi raha
 
Eti jiji la mwanza wanalifananisha na kaarusha kweli!!!! Kuhusu kamoshi yani hapa ndiyo wanalinivunja mbavu haswaaa 🤣🤣🤣 eti ipewe jiji 🤣🤣🤣 while kahama imeendelea kuliko kamoshi but tumetulia wala ha2jicfu na kujigamba.
Kahama imeendela nn? Mji hauna plan. Kahama ni kama likijiji likubwa. Hivi nikikwambia uniambie CBD ya Kahama utaweza? Mji hata stand tu hauna unaulinganisha na moshi? Serious?
 
Sio sahii,ni kimji kidogo tu tena Chenye barabara moja ya kuingilia Mjini na moja ya kutokea tu,na sehemu kubwa yat
Mji haijapangiliwa(viwanja havijapimwa)ukiacha sehemu chache km njiro
Ukiongelea Kahama ya leo sasa unanza kutaja disaster risk towns... Ule mji wa Kahama ni janga lijalo la Taifa.
 
Back
Top Bottom