Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Kahama imeendela nn? Mji hauna plan. Kahama ni kama likijiji likubwa. Hivi nikikwambia uniambie CBD ya Kahama utaweza? Mji hata stand tu hauna unaulinganisha na moshi? Serious?

Huwa sioni ajabu kwa mchagga kusifia chake hata kama hakina kigezo ilimradi tu ajiridhishe moyo wake, ila wachache wanaelewa.
 
Ukiongelea Kahama ya leo sasa unanza kutaja disaster risk towns... Ule mji wa Kahama ni janga lijalo la Taifa.

Huwa sioni ajabu kwa mchagga kusifia chake hata kama hakina kigezo ilimradi tu ajiridhishe moyo wake, ila wachache wanaelewa.

Miaka miwili ijayo watasema moshi ni zaidi ya Dubai 🤣🤣🤣
 
Vigorofa vyenyewe sasa 😁 vinaonekana katikati tu 🤣, pembeni yake sasa 😱🤣 ni aibu kubwa kuifananisha na mwanza. Nyie level yenu mbeya, tanga na dodoma. Ingawa dodoma miaka michache ijayo itawanyamazisha. Poleni sana
Jiji la wastaarabu nitofautinna kijiji cha wachuuzi wa dagaa.

Jiji looks like 👇

Screenshot_20220213-154848.png
 
Ukiniambia waarusha asili nitakubaliana na wewe, tofauti na hapo hamna kitu halafu nimejaribu kuchunguza wengine wana meno kama mavi.

So hapa namaanisha kaskazini yote ukitoa tanga, waarusha tu ndiyo wazuri.
acha dharau kijana🤣🤣🤣🤣
 
Huwa sioni ajabu kwa mchagga kusifia chake hata kama hakina kigezo ilimradi tu ajiridhishe moyo wake, ila wachache wanaelewa.
Hujajibu hoja yangu. Niambie Kahama CBD iko wapi? Stand ya Kahama iko wapi? Zaidi ya wingi wa watu na hela Kahama ni likijiji likubwa tu kama Mafinga..nyie ndiyo mnajipa moyo Kahama ni pazuri kuliko Shinyanga. Hiyo siyo kweli. Shinyanga iko planned tofauti na hilo likijiji la Kahama

Mji hata mfumo wa maji taka tu hakuna unaulinganisha na mji wa Moshi😂😂😂

Pia ujue mimi siyo Mchagga kwetu Iringa. Na Iringa ni pazuri na planned huwezi linganisha na hilo likijiji la Kahama
 
Nani kasema khm kuzuri kuliko Shinyanga🤣🤣? Halaf kaa ujue khm ni Shinyanga vilevile. Unapoisema khm unailenga moja kwa moja Shinyanga.
 
8acha dharau kijana🤣🤣🤣🤣

Sheikh hawa vijana waache dharau na misifa isiyokuwepo.
Baada ya miaka miwili watakuja kutuambia babati ni zaidi ya Dubai 🤣

Kuifananisha jiji la mwanza na kijiji cha arusha ni kuikosea heshima kanda ya ziwa.
 
Mada ni Arusha ndio sehemu bora ya kuishi Tanzania ....sasa watu wa kahama, shinyanga na mwanza naona kama inawakera sana🤣🤣

Mtu atoke mwz ahamie kijiji cha arusha kweli!!! Haimake sense 🤣 hata majirani zako watakuona umechanganyikiwa.
 
Tanga wana uzuri gan. Hiyo sifa ni wewe tu ndo unawapa

Back
Top Bottom