Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Jifunze kuwavumilia wenyeji wa Moshi
Ni watu wa makelele na kujikweza
 
Sio sahii,ni kimji kidogo tu tena Chenye barabara moja ya kuingilia Mjini na moja ya kutokea tu,na sehemu kubwa ya
Mji haijapangiliwa(viwanja havijapimwa)ukiacha sehemu chache km njiro
awa wauwaji wa albino wanatabu sana🀣
hebu niambie iyo barabara moja ya kuingilia mjini ambayo magari kutoka dar nairobi na dodoma yanaingilia
 
awa wauwaji wa albino wanatabu sana🀣
hebu niambie iyo barabara moja ya kuingilia mjini ambayo magari kutoka dar nairobi na dodoma yanaingilia

Hata mimi csapoti mauwaji ya albino. Haya kwa upande wenu wachagga matukio gani yanawahusu??
 
Hata mimi csapoti mauwaji ya albino. Haya kwa upande wenu wachagga matukio gani yanawahusu??
tatizo watu wa mwanza wengi mnatoa hoja kwa mihemko mtu anasema Arusha wote ni wala mirungi hajui kule kuna masheikh na wachungaji??
ukijibu kwa hoja tutakujibu kwa hoja
ukitujibu kwa mihemko sisi ndio wataalamu wenyewe wa propaganda sasa🀣🀣
 
m Mdazi popote ulipo kunywa soda ntalipa
Mtu atutukanie mkoa wetu na wazazi wetu tumuache salama
Lazima aone thread ya moto🀣
Akisikia Arusha kuwa juu anaumia hadi anatukana mara apost picha za mji wao unajengwa stendi mara soko dah
Lazma litoke pepo
 

Yah co wote 🀣🀣 hata upande wa ukatiri, ulevi na ujambazi co wachagga wote.
 
Barabara ya kilimahewa to nyasaka.
Barabara ya sabasaba buswelu via kanyerere
Barabara ya kisesa usagara
Barabara ya nyakato busweru to kahama
Barabara ya iseni to sauti
Barabara ya mkuyuni butimba nk nk

Zipo barabara nyingi sana mwanza
Mwanza naijua vizuri sana na pia Arusha.

Kwa Mwanza ni barabara 3 tu zilizojengwa kwa kiwango kizuri cha lami hizo zingine ni pasua kichwa.

Hizo barabara 3 ni ya kuanzia CCM Mkoa hadi Airport na kuanzia Sabasabsaba hadi Buswelu na ya kuelekea Malaika Beach Hotel angalau kiasi fulani
 
Kilichoiharibu Jiji la Mwanza ni hizo nyumba kwenye milima la sivyo kama hayo maeneo yangepimwa na kujengwa kwa mpangilio Jiji lingependeza.

Kuziondoa hizo nyumba ni gharama kubwa sana.
 
Arusha pia ndio Jiji lenye pisi kali Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…