OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Sasa mkuu watu hawana hata vyoo wanakunya kwenye mifuko wanatupa ziwani, unategemea Nini apo ππππKwanza kuna Washamba Sana,mandhari mbaya na Wala Mji hauvutii kwa hiyo hakuna kama Arusha mkuu..
Kwanza kule wanakufa Sana kwa Saratani
WAKOME KUCHAGUA CHADOMO...!Acheni kutafuta sifa. Jengeni barabara. Barabara za mitaa Arusha yote ni mbovu, za vumbi na matope hazipitiki wakati wa mvua. Kuna maeneo watu wameamua kutengeneza wenyewe barabara sababu ya ubinafsi wa viongozi wa jiji. Haieleweki ofisini hao wanaojiita maofisa wanafanya nini
Mkuu nitafutie uwanja Chuga nakujaSasa mkuu watu hawana hata vyoo wanakunya kwenye mifuko wanatupa ziwani, unategemea Nini apo ππππ
Wewe takataka huna ela Arusha ilikushinda ππππUnavyojitapa sasa π€£π€£π€£π€£π€£,,,ukitoka hapa unaanza kumponda mama Samia oh hali ya maisha ngumu, vitu vimepanda bei, ajira hakuna mara cjui nini. acha ku2ongopea bwana, wadanganye huko huko kijijini kwenu arushaπ€£π€£π€£
Karibu Sana mkuu ..viwanja vipo vimepimwa Kule maeneo ya dampo unapata kwa Bei Chee kabisa.Mkuu nitafutie uwanja Chuga nakuja
Watu Duniani Wana appreciate Arusha harafu eti chura kutoka ziwa Victoria anajirusha rusha kama kakanyagwaππWewe takataka huna ela Arusha ilikushinda ππππ
Wewe takataka huna ela Arusha ilikushinda ππππ
True chuga patamu kinoma na ikifuatia green city mbeyaaa coz wanafana kila kitu mpaka hali ya hewa hata pato la taifa mbeya inaongozaga, majiji haya mbeya na chuga mi nayakubari kinoma hata wakazi wake wengii ni christians sana
Akuna maali Kama A Town asee budaaπππ
Mimi naomba kuuliza swali, hivi ni kwa Nini ukifunguliwa uzi wa kulinganisha baina ya sehemu mbili hapa Tanzania especially Arusha lazima Mwanza ihusishwe?
Mbona watu wa Arusha mnahangaika Sana na Mwanza? Au mna inferiority complex kuona jiji kubwa na Zuri Kama Mwanza halitaki ligi za kitoto na nyie, acheni bhna utoto
Mimi naomba kuuliza swali, hivi ni kwa Nini ukifunguliwa uzi wa kulinganisha baina ya sehemu mbili hapa Tanzania especially Arusha lazima Mwanza ihusishwe?
Mbona watu wa Arusha mnahangaika Sana na Mwanza? Au mna inferiority complex kuona jiji kubwa na Zuri Kama Mwanza halitaki ligi za kitoto na nyie, acheni bhna utoto
Wekeni uzi wa Mbeya na Arusha sasa [emoji38][emoji38][emoji38]
Hiki kitu ata mm nilishauliza sn kwann watu wanapenda kuilinganisha mwanza na vitu vya kijinga, Kila sehemu wanataka kuilinganisha na Mwanza.Mimi naomba kuuliza swali, hivi ni kwa Nini ukifunguliwa uzi wa kulinganisha baina ya sehemu mbili hapa Tanzania especially Arusha lazima Mwanza ihusishwe?
Mbona watu wa Arusha mnahangaika Sana na Mwanza? Au mna inferiority complex kuona jiji kubwa na Zuri Kama Mwanza halitaki ligi za kitoto na nyie, acheni bhna utoto
Umetoka kwenye ubaguzi wa ukanda na ukabila mmeanza na udini, kwa hiyo christians kujazana huko Arusha ndio utajiri? Kweli nyinyi watu wa Arusha mnamatatizo sana. Mwanza inajengwa na wakristo na waislamu na hatuna ubaguzi wa kidini wala kabila.True chuga patamu kinoma na ikifuatia green city mbeyaaa coz wanafana kila kitu mpaka hali ya hewa hata pato la taifa mbeya inaongozaga, majiji haya mbeya na chuga mi nayakubari kinoma hata wakazi wake wengii ni christians sana
Mbeya kote huko,nyie tunawawekea Morogoro..Wekeni uzi wa Mbeya na Arusha sasa [emoji38][emoji38][emoji38]
Fala wewe, leta picha hata moja ya dampo lako la Kahama la kufanania na MbeyaπArusha haya kama inashindaanishwa ndo ishindanishe nankijiji kama Mbeya! Mbeya kwa taarifa yako ni ujinga ujinga tu hata Kahama haiikuti!
Nilikuwa nabishana na wewe zamani lakini baada ya kuona una disoder ya akili wewe baki na upumbavu wako.Mbeya kote huko,nyie tunawawekea Morogoro..
πππ Mwanza nzima hakuna barabara kama hii hapa ya Morogoro π
View attachment 2207759