TANZIA Said Akachube (Akachube Road) ambaye ni muuza magari maarufu DSM afariki dunia

Unajua inahitaji kauli moja tu ya Mh.Rais ,kuepusha watu na vifo hv

Unahisi kauli gani inaweza kuepusha watu na vifo hivi?

Hebu tusaidie hiyo kauli moja tuu inayozidi ile ya kuambiwa tuchukue tahadhari aliyotuambia rais John Pombe Magufuli ili tuwaambie na nchi zingine duniani watumie hiyo hiyo kauli kuepusha vifo

Mimi ningesema tuendelee kuchukua tahadhari, tule vizuri, tufanye mazoezi na kuchapa kazi🙏
 
Unakumbuka tulikua tunaenda kwao kununua mikate pale Magomeni ile Mikate Kama kichwa Cha Kassim Babu
Kuna mwamba mmja yuko ze bonga ndy alinambia juu kwa juu naona ndy hivyo tna

Ova
 
Korona watu tunaumwa na kupona, wengine umauti unawafika.. Ni km vile nalaria na maradhi mengine watu wanaugua baadhi wanapona baadhi umauti unawabeba..
Kipindi kile nahisi nilipata na sasa hivi pia nahisi ninayo.

Sasa je tujiulize je hivi vifo vya corona ni vingi kuliko vya malaria na magonjwa mengine ktk mazingira tunayokaa!?

Kwenye kutotangaza nadhani wanahofia athari ya uchumi sijui na pia hofu kubwa kwa wananchi,
Awamu hii(5) ina maboko mengi lakini haimaanishi kila sehemu wanakosea.

Kikubwa tuchukue hatua zaidi za kitaalam, tujikinge kama tunavyojikinga na malaria na maradhi mengine.
Kama wataalam wanasema mwili unabidi uwe active basi tujitahidi kufanya mazoezi saana.
Kipindi kile naipata ilinikuta niko kwenye mazoezi saana haikukaa hata wiki, ila sasa hivi naona inaleta mazoea, japo hali si km ilivyokuwa siku kadhaa nyuma.

Tujikinge tujilinde, sio kupiga mikelele, tatizo sisi wabongo ni watu wa kulalama lalama mnooo..
 
Unajua inahitaji kauli moja tu ya Mh.Rais ,kuepusha watu na vifo hv
Raisi mjua yote yule. Amefika hatua ya kutuchukulia kama watoto wake wakati hakuna mahusiano hayo. Sisi siyo watoto wake ila ni mabosi wake. Akae akijua hilo
 
hivi kuna nchi AMBAYO imefanikiwa kupambana na Corona?
 
Kila mtu apambane anavyojua mwenyewe.
Kama
Magonjwa yapo kibao.kwanini Corona ndo.tumpe lawama magufuli?.
huu NI ugonjwa Kama magonjwa mengine usingoje uambiwe na rais ufanye nini.
Unatakiwa ujiongeze mwenyewe
Kwa hii corona haihitaji kauli ya yeyote..uhai wako ni jukumu lako.
Chukua tahadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…