Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Na ukitoka nje ya WCB utakuwa mkubwa kimziki ila kitaa kitahakikisha haumzidi Kalapina na Baba Levo!Ukiwa under wasafi,umaarufu utaupata sawa ila lazima watamake sure usimzidi Diamond.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ukitoka nje ya WCB utakuwa mkubwa kimziki ila kitaa kitahakikisha haumzidi Kalapina na Baba Levo!Ukiwa under wasafi,umaarufu utaupata sawa ila lazima watamake sure usimzidi Diamond.
Halafu ukiwa chini ya label kama wasafi ni lazima utoke huwezi kuwa mle milele mvuto wako kimuziki ukishuka watakutoa wao wataleta msanii mwingine so ni vizuri ukitoka wakati upon juu ili ukaendeleze gurudumu ukiwa peke yako kuliko kusubiri kutolewa!!..hata rayvann inabidi ajipange kuja kusimama mwenyewe LA sivyo!!Ukiwa under wasafi,umaarufu utaupata sawa ila lazima watamake sure usimzidi Diamond.
Kabisa mkuuSasa hata ukiachwa huru ukawa kivyako ndio utamzidi diamond?
Diamond kiukweli ameshindikana kwa wasanii wa bongo.
Mimi sina ushabiki na diamond,huwa namshabikia alikiba lkn inabidi niseme ukweli tu.
Watu wanaongea tu vitu wasivyovijua. Utanyonywa vipi kama unafanya kazi na zinakubarika na jamii? Na jambo moja wasilolijua hukatazwi kuwa na mwanasheria wako wa kuweka sawa kwenye mkataba wakoAisee hata harmonize Kuna ghorofa anajenga huku mtaani kwangu karibu na madale.
Kwa hiyo sidhani Kama ananyonywa.
Hakuna anayezuiwa kumzidi ama kutomzidi Diamond, mbona wapo wasanii wengine nje ya Wasafi na wameshindwa, sasa atoke ndani ya Wasafi ili amzidi kama alivyofanya Rich Mavoko si amemzidi Diamond ati??Ukiwa under wasafi,umaarufu utaupata sawa ila lazima watamake sure usimzidi Diamond.
Nimeipenda hii sheria.Umeitoa wapi mkuu?Maana nimejaribu kuisearch sijaipata.Nataka niipitie vizuri,kama hutojali.Original Gangster's Rule Number 4080.
Do not comment on speculations. Get the facts first.
Commenting on speculations can start a war that will kill people, only to find out the said speculations are after all unfounded!
Kama Harmonize kanyonywa ili kufikia level hiyo, basi nafikiri kuna wasanii wengi sana wanahitaji kunyonywa ili kufikia angalau hata theluthi yake.Walikua wanamlalamikia Ruge anayonya wasanii,na wao wanapita humo humo.
Hizi sheria za ma OG mpaka uwe na security clearance ya Double 0 ndiyo unazipata.Nimeipenda hii sheria.Umeitoa wapi mkuu?Maana nimejaribu kuisearch sijaipata.Nataka niipitie vizuri,kama hutojali.
Jux nae ana kipaji?? Sijawahi kumuelewaDogo harmo namuonea huruma Sana asije baadae kuingia Kwenye madawa yakulevya huu mziki ni mgumu kwel kwel hautegemei kipaji pekee ndo maana jux,benpol,Ruby,barnaba wanatruggle hawakui kimziki japo wanavipaji vikubwa kuliko hata harmonize.
Amepiga hatua gani mkuuKama Harmonize kanyonywa ili kufikia level hiyo, basi nafikiri kuna wasanii wengi sana wanahitaji kunyonywa ili kufikia angalau hata theluthi yake.
Maana kunyonywa kuna faida kama ni hvyo, maana wapo wasionyonywa na hawajapiga hatua.
huyu jux ndo leo najua mwanamuziki nilidhani ni mwanamitindo, huku kijijini kwetu tunamjua diamond tu!My brother jux anastruggle?how?akat daily anatoa hit songs na ana biashra inaend poa tu!afu juz alhojiwa kuhus kutopga shoo nyng akajb ttzo bei,hapg shoo ya lak so usione msanii anapga shoo daily ndo ukaona kayaptia Noo,kla mtu ana bei yke,uftlie vtu mzee uckurupuke,ukisema jux anastruggle kweny mzk je chid benz, q chief na tid watakuaje???
Amepiga hatiua kimziki, kupata mashabiki ndani na nje ya nchi...nkAmepiga hatua gani mkuu
Tuko pamoja shem..nawapenda na ivyoivyo na madudu yaoWatu na timu zetu...yani mimi mtu akiwa usafini hata kama ni bubu namkubali tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂anawanyonya!? Anawanyonya nini !?Walikua wanamlalamikia Ruge anayonya wasanii,na wao wanapita humo humo.
masikini wa kifikira utabaki na bikira ya kimaendeleo mpka kufa kwako.Kanyonywa wapi.... Sema anataka kuwa kivyake awe na label yke
Sasa huyo alipokuwa kwao hko nanjilinji bodaboda mpk akawa star si awashukuru wkna mondi
Na akifeli tu ajiandae kwenda kubangua koroshow
Ova
Sasa ngoja tuone Kama atamzidi diamondUkiwa under wasafi,umaarufu utaupata sawa ila lazima watamake sure usimzidi Diamond.
Alikiba kashindwa ataweza huyo mmakonde msanii mwenyewe anaiga kuimba kwa baba yake alafu Leo amshinde baba yake wa mziki?Sasa ngoja tuone Kama atamzidi diamond
Daaa kwa hiyo mkuu shilole ambae hayuko label kubwa kama hiyo mwenye mashabiki ndani ya nchi tu amepiga hatua zaidi yake sasa kwa maana ana biashara shishifood na ana nyumba yake anamalizia kujenga au Harmonize nae hapendi show off kama alikibaAmepiga hatiua kimziki, kupata mashabiki ndani na nje ya nchi...nk