Hussein Masoro ndani ya TISS:
Masoro alikuwa U1 (Anapokea taarifa za wakurugenzi wote na kuzichakata kisha kumpatia DG ili ampatie Rais)
Then, akapelekwa China kuwa Balozi mdogo.
Aliporejea, akawa DAP (Director of Administration and Personnel).
Akapanda na kuwa Kaimu Mkurugenzi (DDGIS); kabla ya kuteuliwa na Rais Samia kuwa DGIS.
Ana uzoefu mkubwa ndani ya Idara na kuna uwezekano mkubwa akaifanyia transformation ya maana (akiamua).
Nje ya TISS:
Masoro kwa asili, ni mtu toka mkoa wa Kigoma.
Masoro Said, Boss mpya TISS, ni nani haswa?
Mwenye CV yake tunaiomba!
Nani!?..mbona ni nassor..nassor na mchungaji wapi na wapi!?Depo la 1993,
Adv dip mzumbe, mastaz pretoria!
Ni ndugu wa mke wa mchungaji wa kanisa la mchepuko wa afande rco
Katika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.
Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko RaisKatika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.
Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
Kwa ujumla tz Tiss ni chawa wa rais.
Hawana faida kwa taifa kiuchumi wala usalama wa raia.
Hii nchi inahitaji rifomeshesheni kwenye mambo mengi
Alikuwa makamu wa balozi... anyways, balozi zote zimejaa nyoka!Huyu jamaa Alikuwa afisa muwandamizi ubalozini China
Hizo nchi zingine ulizotaja huwa wanaongozwa na nani na wanaripoti kwa nani?Katika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.
Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
Alirudi TZ akiwa naibu mkurugenzi na mkuu wa internal affairs TISSAlikuwa makamu wa balozi... anyways, balozi zote zimejaa nyoka!