Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,895
- 11,025
NdioKama Blender hivi eti?
NdioKama Blender hivi eti?
Hahahaaaa sawa mkuu,Ndio
Hii ni poa sana. Ingekuwa hapa Tz wafalme wengi wangefyekelewa mbaliCIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko Rais
Kenned aliuliwa kisa kukata ulaji wa mabepari VietnamHii ni poa sana. Ingekuwa hapa Tz wafalme wengi wangefyekelewa mbali
Si kweli mkuu!!!Kenned aliuliwa kisa kukata ulaji wa mabepari Vietnam
Ni moja ya sababu, nyingine ni kutaka kuibadili CIA,akaambiwa CIA huwezi kuibadiliSi kweli mkuu!!!
Ni moja ya sababu, nyingine ni kutaka kuibadili CIA,akaambiwa CIA huwezi kuibadiliSi kweli mkuu!!!
Hiyo uliyoitaja kama ya pili ndiyo yenyewe sasa bila kuongeza hizo za capitalistsNi moja ya sababu, nyingine ni kutaka kuibadili CIA,akaambiwa CIA huwezi kuibadili
Kennedy alitaka maliza Vita Vietnam wakati mabepari walikua wakiingiza Dola million 8 kwa sikuHiyo uliyoitaja kama ya pili ndiyo yenyewe sasa bila kuongeza hizo za capitalists
Im not sure sana kuhusu hilo.Kennedy alitaka maliza Vita Vietnam wakati mabepari walikua wakiingiza Dola million 8 kwa siku