Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.

Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo upongeze tena
 
Nchi iko salama kwa kiwango cha juu, halafu unatoa maneno kama haya kwa taasisi nyeti ya nchi. Si sawa. Kuna watu wanaofikiri kwa level ya chekechea mmelewa usalama na utulivu wa hali ya juu wa nchi. Kuna wenzetu wanatamani wangekuwa ni Watanzania. #Tuheshimu taasisi zetu pendwa za dola. Tukosoe na kushauri kwa hekima. [emoji120][emoji120][emoji120]

Lakini kama nchi hatujawahi kuwa na changamoto hatari za usalama wa nchi.

Ila elewa haina maana kitengo ni kibovu.
 
Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.

Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Kabadilisha tena huo umakini uko wapi?
 
Vigezo na sifa za kuwa mkuu wa TISS ni zip hzo, maana suala la usalama wa Taifa km Taifa sio la kulichukulia kwa udogo

Pamoja na hizo sifa utakazomwagiwa ambazo kila mmoja anazo kikubwa zaidi kinachoangaliwa ni ccm card.
 
Hata Marekani CIA iko chini ya Rais kwa kiwango kikubwa japo huripoti na katika kamati za bunge.
CIA ni Semi autonomous, nusu inajiendesha yenyewe,

Raisi Kennedy aliwahi kusema kuwa CIA ni nchi ndani ya nchi, State within a state, na alidhamiria kuibadilishia mfumo.
 
CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko Rais
Hata MOSAD pia walimuua waziri wao mkuu Yatch Rabin kwa madai kuwa alitaka kuhatarisha usalama wa taifa.
 
Endelea kusoma zaidi. Kennedy aliuawa na Mossad pale alipoanza kuuliza kwa nini Israel inaiingiza Marekani katika matatizo na actually akaanza kupunguza uhusiano.
Yumkini makundi mengine pia yalijiingiza katika plot hiyo.
Nipe link ya habari hii
 
Katika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.

Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
huyo karopoka baada ya kuvimbiwa viazi.
 
Mtu alikuwa DCI kwa miaka kadhaa bado unasema hakuwa na uzoefu?

mtu alikuwa RPC, RAS na kote huko akiwa Kipenyo Senior ambae hata IGP hakuwa anamjua bado unasema hakuwa senior?
huu ujinga wa kusema IGP hakuwa anamjua muachane nao.
Othman Rashid alitokea Ubalozi, Kapilimba akatokea Mamlaka ya Vitambulisho ndio walikuwa zaid yake?
 
Back
Top Bottom