Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

View attachment 2468455

Hussein Masoro ndani ya TISS:

Masoro alikuwa U1 (Anapokea taarifa za wakurugenzi wote na kuzichakata kisha kumpatia DG ili ampatie Rais)

Then, akapelekwa China kuwa Balozi mdogo.

Aliporejea, akawa DAP (Director of Administration and Personnel).

Akapanda na kuwa Kaimu Mkurugenzi (DDGIS); kabla ya kuteuliwa na Rais Samia kuwa DGIS.

Ana uzoefu mkubwa ndani ya Idara na kuna uwezekano mkubwa akaifanyia transformation ya maana (akiamua).

Nje ya TISS:

Masoro kwa asili, ni mtu toka mkoa wa Kigoma.
Hapa safi, yaani sayansi ya inteljensia ikigoma, tinachukua tu kioo Cha Babu tunakuona laivu, na ikibidi unapigwa ndumba tu. Kigoma hakuna mchezo
 
Mkurugenzi mkuu huwa ni nafasi ya utawala, mtu yeyote mwenye maarifa na busara za Utawala anaweza kuwa katika hiyo nafasi.
Mkuu wa CIA wa Marekani alikuwa ni balozi.
kwani unaposikia fulani ni balozi unamchukuliaje?
 
Jamaa Ni spy wa uhakika. Mpaka Sasa jf hakuna anayejua undani wake.
Keep it up Nassor.
 
Katika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.

Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
Smart kuua watu n kuweka kwenye viloba
 
Yeyote ajae, kama hashughulikii mafisadi papa wanaiba na kutorosha mabilioni ya pesa, madini, wanyama.......
hana faida yeyote ila kwa rais tu!
 
Kennedy aliuawa kwa Mambo mengi na Wala si usalama wa nchi,alitaka kuiondoa nchi Vietnam wakati wahuni walikua wakipiga mamilioni kwa siku kwa kuliuzia jeshi silaha na vifaa vingine,alitaka kuibadili CIA aliona ipo kiwaky, Yitzhak Rabin aliuawa si kwa kuhatarisha usalama wa Israel Bali kupendelea zaidi amani na Palestine
Endelea kusoma zaidi. Kennedy aliuawa na Mossad pale alipoanza kuuliza kwa nini Israel inaiingiza Marekani katika matatizo na actually akaanza kupunguza uhusiano.
Yumkini makundi mengine pia yalijiingiza katika plot hiyo.
 
View attachment 2468455

Hussein Masoro ndani ya TISS:

Masoro alikuwa U1 (Anapokea taarifa za wakurugenzi wote na kuzichakata kisha kumpatia DG ili ampatie Rais)

Then, akapelekwa China kuwa Balozi mdogo.

Aliporejea, akawa DAP (Director of Administration and Personnel).

Akapanda na kuwa Kaimu Mkurugenzi (DDGIS); kabla ya kuteuliwa na Rais Samia kuwa DGIS.

Ana uzoefu mkubwa ndani ya Idara na kuna uwezekano mkubwa akaifanyia transformation ya maana (akiamua).

Nje ya TISS:

Masoro kwa asili, ni mtu toka mkoa wa Kigoma.
Chaguo sahihi.
Kwa kawaida Idara hizi za Usalama zinapenda kwa utaratubu kiongozi wa juu awe home grown na anazifahamu division zote ndani ya Idara.
Wale wanaotoka nje ya Idara au Taasisi huwa wanaoata matatizo, mfano kamanda Kombe.
Hata JWTZ Rais Mwinyi alijaribu kumuweka CDF kutoka nje ya core JWTZ alipostaafu nafikiri Gen Kyaro.
Suala lilileta figisu.
 
Chaguo sahihi.
Kwa kawaida Idara hizi za Usaka zinapenda kiongizi wa juu awe home grown.
Wale wanaotika nje ya Idara au Taasusi huwa wanaoata matatizo, mfano kamanda Kombe.
Hata JWTZ Rais Mwinyi alijaribu kumuweka CDF kutoka nje ya core JWTZ alipostaafu nafikiri Gen Kyaro. Suala lilileta figisu.
Hebu eleza: Kombe alileta tatizo gani hata akauawa? Kifo chake hadi leo sijakipatia ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom