Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Wanaoongozwa na Director wao tu, na wanaripoti kwa Director wao tu.Hizo nchi zingine ulizotaja huwa wanaongozwa na nani na wanaripoti kwa nani ?
Kuna misheni zinafanyika hata raisi hajui. Kipindi cha Obama mkurugenzi wa NSA aliitwa kuhojiwa bungeni,
akaeleza jinsi walivyomdukua Angela Mikel aliyekuwa Chancelor wa Ujerumani tangu akiwa binti wa miaka 20. Obama akawa ameduwaa kashika tama tu, hakuna raisi aliyekuwa anajua.