Yupo, unamhitaji?Nyaulingo mzima?
Hajastaafu tu. He must be over 60.Yupo, unamhitaji?
Diwani Athumani amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa upi?Katika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.
Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
Said Hussein Massoro ndio Jasusi namba moja Tanzania kwasasa.
Sisi wananchi wazalendo, hatumjui kwa undani. Sio mbaya tukamjua maana JamiiForums ni pana sana, sio mbaya mkatujuza.
NB:
Sio vibaya kumjua, maana mtangulizi wake tulimjua kuwa alikuwa Polisi, RAS Kagera, Bosi Takukuru nk
Okonkwo kills Ikemefuna with his machete.Yericko jizi tu
Mbona anaonekana kama mzenji?View attachment 2468455
Hussein Masoro ndani ya TISS:
Masoro alikuwa U1 (Anapokea taarifa za wakurugenzi wote na kuzichakata kisha kumpatia DG ili ampatie Rais)
Then, akapelekwa China kuwa Balozi mdogo.
Aliporejea, akawa DAP (Director of Administration and Personnel).
Akapanda na kuwa Kaimu Mkurugenzi (DDGIS); kabla ya kuteuliwa na Rais Samia kuwa DGIS.
Ana uzoefu mkubwa ndani ya Idara na kuna uwezekano mkubwa akaifanyia transformation ya maana (akiamua).
Nje ya TISS:
Masoro kwa asili, ni Msukuma toka mkoa wa Simiyu.
Wamebadilisha ID hahaha kuitetea CCM lazima uwe na ukichaa FulaniNdugu Elli ,nimeshangaa sana kiona hii ID ya jingalao ikiwa hewani baada ya kitambo kikubwa cha ukimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Was Oswald Lee Harvey an agent of CIA? Give evidence.CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko rais
Hapa wabeba silaha wanatumikia nchi siyo mabepari
Wewe hujui kitu ni ulikuta kuna uniformity akili hamnaMuulize Waziri Mkuu wa UK aliyekaa chini ya miezi miwili atasema. Term ya DGIS ni miaka 5, ukitolewa mapema unapwaya! Sio sifa nzuri
Pia wapo waliokuwa wananitukana wakati wa JPM kwa kuwa Chawa wake wa kujitolea …wengine wakinitukana kwa U CCM wa kutetea Serikali na wengine kwa udini nikimkosoaHuwa nafurahi sana kuona michango yako hapa jukwaani ndugu Pohamba .
Tatizo lako kubwa ni "udini" kaka yangu.
Sasa hivi hatuoni michango yako ya maana na ya kujenga kama ilivyokuwa kipindi cha awamu ya 5.
Kwa nini!!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiachana na Mimi, wewe ni mtu WA pili kuwa na fikra pana Sana ktk mifumo mibovu ya kiuongozi ya NyerereHao nyoka wamesaidia nini wakati nchi inazidi kuzama kwenye dimbwi la umasikini.
Nyerere aliacha mfumo wa hovyo sana wa uongozi.
Asante sana Mkuu X spyView attachment 2468455
Hussein Masoro ndani ya TISS:
Masoro alikuwa U1 (Anapokea taarifa za wakurugenzi wote na kuzichakata kisha kumpatia DG ili ampatie Rais)
Then, akapelekwa China kuwa Balozi mdogo.
Aliporejea, akawa DAP (Director of Administration and Personnel).
Akapanda na kuwa Kaimu Mkurugenzi (DDGIS); kabla ya kuteuliwa na Rais Samia kuwa DGIS.
Ana uzoefu mkubwa ndani ya Idara na kuna uwezekano mkubwa akaifanyia transformation ya maana (akiamua).
Nje ya TISS:
Masoro kwa asili, ni mtu toka mkoa wa Kigoma.
Inasemekana DG wa CIA (ambae mpaka sasa ndo DG aliekaa miaka mingi kwenye kiti kuliko yeyote- alipata fununu kuwa Rais Kennedy anataka kumreplace! Jamaa kutetea kiti chake akamla kichwa. Na hii ikafanya Marais wote waliokuja baada ya Kennedy kumwogopa jamaa! Alafu jamaa wanasema alikuwa mtu wa upindeSababu za kumuua zilikuwa zipi?
Mbona kutoka JWTZ wametawala muda mrefu pia?Huyo Kipilimba uliyemtaja na mwenzake huyu Bwana Diwani Msuya, ndio wanaingia record ya kuwa Wakurugenzi waliokaa muda mfupi zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.
Nadhani point ni kuwa hata kama mtu ni wa idarani, kama amekuwa akifanya kazi nje ya idara muda mrefu, inakuwa ngumu kufanikiwa. Samia kateua insider
Hata mimi huwa najiuliza Kila mwaka CAG anasema tumeibiwa kwenye Madini, utalii, fedha za umma, ardhi na resources nyingi. Hawa watu tunaambiwa wako kila mahali kwani kazi zao ni nini hasa?Hao nyoka wamesaidia nini wakati nchi inazidi kuzama kwenye dimbwi la umasikini.
Nyerere aliacha mfumo wa hovyo sana wa uongozi.
🤣🤣🤣Zile nchi zimeendelea sana, actually hayo mashirika makubwa kama CIA na FBI watendaji wakuu ni Deputy na Assistant Directors. Huku bado sidhani kama tumefika huko, kwanza deputy ukipiga kazi sana utaonekana unataka kazi ya bosi 🤣🤣🤣
Kafufuka kwa unyonge sanaUmefufuka!!
Wanaziogopa ID zaoKafufuka kwa unyonge sana