Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

Hapa rais anakuwa na nguvu, matokeo yake anageuka kuwa mlevi wa madaraka. Hatimaye, utashi binafsi wa rais ndio unageuka kuwa sheria za nchi. Hii kuwa na rais aliye juu ya sheria ndio imechangia nchi yetu kuongozwa kihuni.
Kuna faida gani nchi kuongozwa na wabeba silaha Kama marekani,ambayo imeingizwa vitani kupitia wahuni wanaovuta nyuzi(strings) za za hayo magenge ya wabeba silaha (jeshi/intelligence agencies)
 
Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.

Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Usalama wa Taifa asili yake ni Special Police, tabia yao ya kwanza ni kuwa incognito yaani kutumia jina neutral kama Diwani Athumani. He is the best.
 
Huyo Kipilimba uliyemtaja na mwenzake huyu Bwana Diwani Msuya, ndio wanaingia record ya kuwa Wakurugenzi waliokaa muda mfupi zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.

Nadhani point ni kuwa hata kama mtu ni wa idarani, kama amekuwa akifanya kazi nje ya idara muda mrefu, inakuwa ngumu kufanikiwa. Samia kateua insider
Tofauti ya mtu aliyeishi miaka 100 na mwingine 60 baada ya miaka 101 ni nini?? Afrika tuna shida sana
 
Back
Top Bottom