Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Kwani Zanzibar iko Kenya? Leteni argument zenye mashiko siyo huu upuuzi wa udini na uzanzibariBibi anajaza wazanzibar kwenye idara nyeti.
Kwani Zanzibar iko Kenya? Leteni argument zenye mashiko siyo huu upuuzi wa udini na uzanzibariBibi anajaza wazanzibar kwenye idara nyeti.
TISS ni idara ya serikali ambayo watumishi wake ni watuNi mtu tuu wa kawaida ,,ni binadamu ambaye ana ngozi Kama Yetu na mpole kiasi asiyependa makuu pia ni mfanyakazi wa Serikali.
Kimatire ndiyo nini?Sawa kimatire
Muda mwingine muwe mnaficha upumbavu wenu.Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.
Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Ni watanzania hao, hakuna shida.Bibi anajaza wazanzibar kwenye idara nyeti.
Nahisi ni Nasoro inaonekana wamekosea makusudi kuandika Masoro ili tusihoji kama ni kutoka kibanda mahiti kule chake chakeNi Nasoro au Masoro?
Kibanda maiti na Chake Chake wapi na wapi?Nahisi ni Nasoro inaonekana wamekosea makusudi kuandika Masoro ili tusihoji kama ni kutoka kibanda mahiti kule chake chake
Ndio uko uko wazee wakutotosheka kila siku wanachopewa na wa Tanganyika wanakiona kidogoKibanda maiti na Chake Chake wapi na wapi?
Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.
Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Kwani ni kosa' akitoka Zanzibar!?Nahisi ni Nasoro inaonekana wamekosea makusudi kuandika Masoro ili tusihoji kama ni kutoka kibanda mahiti kule chake chake
Nani alikwambia idara ya usalama wa Taifa kazi yake kumlinda Rais kama ingekuwa hivyo singekuwa Raha..CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko rais
Punguza jazba,wenyewe huko ndani Wana sababu zao,wewe zalisha Mali lipa kodiMtu alikuwa DCI kwa miaka kadhaa bado unasema hakuwa na uzoefu?
mtu alikuwa RPC, RAS na kote huko akiwa Kipenyo Senior ambae hata IGP hakuwa anamjua bado unasema hakuwa senior?
Othman Rashid alitokea Ubalozi, Kapilimba akatokea Mamlaka ya Vitambulisho ndio walikuwa zaid yake?
Nani kasema kazi ya idara ni kimlinda rais!?Nani alikwambia idara ya usalama wa Taifa kazi yake kumlinda Rais kama ingekuwa hivyo singekuwa Raha..
CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko rais
Huyo Kipilimba uliyemtaja na mwenzake huyu Bwana Diwani Msuya, ndio wanaingia record ya kuwa Wakurugenzi waliokaa muda mfupi zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.Mtu alikuwa DCI kwa miaka kadhaa bado unasema hakuwa na uzoefu?
mtu alikuwa RPC, RAS na kote huko akiwa Kipenyo Senior ambae hata IGP hakuwa anamjua bado unasema hakuwa senior?
Othman Rashid alitokea Ubalozi, Kapilimba akatokea Mamlaka ya Vitambulisho ndio walikuwa zaid yake?
Ili waijue vizuri mifumo siku kikinuka tusiwe na pakujishikaBibi anajaza wazanzibar kwenye idara nyeti.