Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

Hizo za IGP kutomjua ni porojo tu.
Mtu alikuwa DCI kwa miaka kadhaa bado unasema hakuwa na uzoefu?

mtu alikuwa RPC, RAS na kote huko akiwa Kipenyo Senior ambae hata IGP hakuwa anamjua bado unasema hakuwa senior?

Othman Rashid alitokea Ubalozi, Kapilimba akatokea Mamlaka ya Vitambulisho ndio walikuwa zaid yake?
 
Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.

Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Mda mchache Mambo mengi SSH KWa sasa ni dr !! Kwani akibaki alivyo bila dr ,anapungukiwa nini? Watz mtafika mbinguni mmechoka sana
 
Mkurugenzi mkuu huwa ni nafasi ya utawala, mtu yeyote mwenye maarifa na busara za Utawala anaweza kuwa katika hiyo nafasi.
Mkuu wa CIA wa Marekani alikuwa ni balozi.
Huyo Kipilimba uliyemtaja na mwenzake huyu Bwana Diwani Msuya, ndio wanaingia record ya kuwa Wakurugenzi waliokaa muda mfupi zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.

Nadhani point ni kuwa hata kama mtu ni wa idarani, kama amekuwa akifanya kazi nje ya idara muda mrefu, inakuwa ngumu kufanikiwa. Samia kateua insider
 
Mtu alikuwa DCI kwa miaka kadhaa bado unasema hakuwa na uzoefu?

mtu alikuwa RPC, RAS na kote huko akiwa Kipenyo Senior ambae hata IGP hakuwa anamjua bado unasema hakuwa senior?

Othman Rashid alitokea Ubalozi, Kapilimba akatokea Mamlaka ya Vitambulisho ndio walikuwa zaid yake?
Huwa nafurahi sana kuona michango yako hapa jukwaani ndugu Pohamba .

Tatizo lako kubwa ni "udini" kaka yangu.
Sasa hivi hatuoni michango yako ya maana na ya kujenga kama ilivyokuwa kipindi cha awamu ya 5.
Kwa nini!!!??



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.

Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Alitoka PT akaenda PCCB akakaa siku 360•25 akatolewa kwenda huko alipotolewq sasa
 
Katika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.

Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
Nakazia, asomaye na afahamu.
 
Hao nyoka wamesaidia nini wakati nchi inazidi kuzama kwenye dimbwi la umasikini.
Nyerere aliacha mfumo wa hovyo sana wa uongozi.
Wana mapungufu yao, lakini mchango wao kwenye usalama na utulivu wa nchi usiubeze. Unadhani DRC hawana intelligence services? Mbona kila wanachezewa na vinchi vidogo? Wakifaulu huwezi kuona kama wanafanya kazi, wakifeli ndio unajua hawapo.
 
Mkurugenzi mkuu huwa ni nafasi ya utawala, mtu yeyote mwenye maarifa na busara za Utawala anaweza kuwa katika hiyo nafasi.
Mkuu wa CIA wa Marekani alikuwa ni balozi.
Zile nchi zimeendelea sana, actually hayo mashirika makubwa kama CIA na FBI watendaji wakuu ni Deputy na Assistant Directors. Huku bado sidhani kama tumefika huko, kwanza deputy ukipiga kazi sana utaonekana unataka kazi ya bosi 🤣🤣🤣
 
Kwa nini CIA walimuua Kennedy?
Kwa nini pia unaamini CIA ndio waliomuua Kennedy? Upo huo ushahidi?

It was an inside job assisted by the CIA.

For more information [emoji116]
 
Back
Top Bottom