Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

2020-01-11
Beijing, China

1672780037981.png

From left to right: Ms. Li Qing, the founder of AfriCo, His Excellency Seidi Hussain Masoro, Minister and Consul of Tanzania, the wife of the Beninese Ambassador to China, Simon Pierre Adoveland, the Benin Ambassador to China Your Excellency, Mr. Zhou Ying from SAIC-GM-Wuling, Brigadier General Remigis Ngambi, Acting Ambassador of Tanzania to China, and Ms. Huang Rong, Secretary to the Benin Ambassador to China

1672780231969.png

​
Photo : The Acting Ambassador and Minister of the Tanzanian Embassy in China (left) Said Hussein Masoro received car models
 
Na huyu muislamu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo Kipilimba uliyemtaja na mwenzake huyu Bwana Diwani Msuya, ndio wanaingia record ya kuwa Wakurugenzi waliokaa muda mfupi zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.

Nadhani point ni kuwa hata kama mtu ni wa idarani, kama amekuwa akifanya kazi nje ya idara muda mrefu, inakuwa ngumu kufanikiwa. Samia kateua insider
Mbona Augustine Maiga naye alikaa muda mfupi nazani 3 yrs
 
CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko rais

Katiba yenyewe ina nguvu kuliko rais. Na waliweka hivyo makusudi ili kuwe na chek and balance ktk uongoz, asije tokea mtu akatumia madaraka hayo ki dikteta
 
Sababu za kumuua zilikuwa zipi?
It was an inside job assisted by the CIA.

For more information [emoji116]
 
2019
16 May 2019
Beijing, China

Mahojiano exclusive na Mh. balozi Said Hussein Massoro, alaumu vyombo vya habari kutoa taarifa zisizo za uhakika. Ataka utu utumike ktk utendaji kazi

AyoTV, millardayo.com imemuuliza Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Tanzania Beijing China Said Hussein Massoro, Taarifa za mrembo anayefahamika kwa Jina 'Binti Kiziwi' yuko Gereza la Hongkong na ameshanyongw? 'Nafahamu yuko Gereza la Wanawake HongKong na anaendelea na Kifungo chake”
Source : Ayo TV
 
Tutajuaje ni mzalende bila CV yake? Tunajuaje ni Mtanzania na ni mzalendo bila hata kujua kijiji alichozaliwa kwanza?!
Kwahiyo mamlaka ya uteuzi haijui ila wewe ndo unajua zaidi?
 
DGIS mpya bwana Massoro ni msukuma kutokea wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu.

Katika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama rais ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.

Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
 
Katika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.

Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
Smart wa kitu gani?
 
CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko rais
Sasa ujinga uko wapi? Unajua ni kwa nini walimuua?

MOSSAD pia walimuua kiongozi wa Israel kipindi hicho Yatch Rabin.

Iko hivi, taasisi za wenzetu zipo kwa ajili ya usalama wa taifa, sio usalama wa viongozi kama ilivyo kwetu, Kipaumbele chao ni taifa lao, kiongozi yeyote ambaye anataka kuhatarisha usalama wa taifa wanamuondoa, hata kama ni mkuu wa nchi.

Nchi zetu za kiafrika mkipata kiongozi kichaa anaweza kuwapeleka shimoni huku mausalama yanaangalia tu.
 
Kennedy aliuawa kwa Mambo mengi na Wala si usalama wa nchi,alitaka kuiondoa nchi Vietnam wakati wahuni walikua wakipiga mamilioni kwa siku kwa kuliuzia jeshi silaha na vifaa vingine,alitaka kuibadili CIA aliona ipo kiwaky, Yitzhak Rabin aliuawa si kwa kuhatarisha usalama wa Israel Bali kupendelea zaidi amani na Palestine
 
Back
Top Bottom