Masoro mtu wa kigoma MWANDIGA kwao ZITTO KABWE na kwao SELUKAMBA . Ni sehem wanapotokea watu wakorofi sana, wabishi na wajuaji mno.Bibi anajaza wazanzibar kwenye idara nyeti.
Hawaogopi chochote, hawamuogopi yeyote na wapo tayari kwa lolote.
Ni sehem unaweza kuta kijana anashinda kijiweni ukampa kazi ya lak3 kwa mwezi akakutukana kwamba unamdharau .. by the way My point ni kwamba Masoro sio MZANZIBARI